-
Iran yailaani Israel kwa kuendelea kuua wanawake na watoto Gaza
Oct 19, 2025 03:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amelaani ukiukaji wa mara kwa mara wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaofanywa na utawala ghasibu wa Israel, likiwemo shambulio la hivi karibuni dhidi ya gari lililokuwa limebeba familia ya Kipalestina wakati ikirejea kwenye makazi yao.
-
Iran yazindua makombora ya Emad, Ghadr yaliyoboreshwa
Oct 19, 2025 03:06Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimezindua makombora yaliyoboreshwa ya Emad na Ghadr katika miji ya makombora ya chini ya ardhi.
-
Barua ya Araqchi kwa Guterres na Baraza la Usalama: Muda wa azimio 2231 umemalizika
Oct 18, 2025 09:26Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema katika barua rasmi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Mwenyekiti wa Kiduru wa Baraza la Usalama Vassily Nebenzia kwamba muda wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama unamalizika leo tarehe 18 Oktoba 2025.
-
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Oct 18, 2025 09:11Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
-
Iran yakadhibisha madai kwamba inatishia usalama wa Uingereza
Oct 18, 2025 04:20Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umepinga vikali madai ya mkuu wa Shirika la Ujasusi la Ndani la Uingereza (MI5) kwamba Tehran inataka kutishia usalama wa Uingereza, na kuyataja madai hayo kuwa "yasiyo na msingi."
-
Iran yalaani mashambulizi ya karibuni ya Israel kusini mwa Lebanon
Oct 18, 2025 04:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya karibuni ya anga ya Israel kusini mwa Lebanon, na kuzibebesha dhima nchi zilizodhamini makubaliano ya kusitisha vita yaani Ufaransa na Marekani kwa kutoichukulia hatua Israel.
-
Yazdanian: Iran hurusha satelaiti sita angani kila mwaka
Oct 18, 2025 04:18Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha satelaiti.
-
Araqchi afanya mazungumzo na wenzake wa Msumbiji na Mali mjini Kampala
Oct 18, 2025 01:05Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Msumbiji na Jamhuri ya Mali wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini Kampala, Uganda.
-
Muda wa vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran unamalizika leo, wizara yatoa tamko
Oct 17, 2025 23:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tamko kuhusiana na kumalizika muda wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Vizuizi vilivyowekwa juu ya mpango wa nyuklia wa Iran vinamalizika leo Jumamosi Oktoba 18, 2025.
-
Abu Torabi Fard: Jihadi ni ufunguo wa mabadiliko na ulinzi wa haki katika Qur'ani Tukufu
Oct 17, 2025 08:30Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa: Jihadi ni nguzo muhimu na yenye kuleta mabadiliko katika dini ya Kiislamu ambayo inatilia mkazo ushirikiano na Muqawama wa pamoja katika kupambana na dhulma mbali na kuhimiza jitihada za mtu mmoja mmoja.