-
Spika wa Bunge: Israel imeshindwa ‘kwa fedheha zaidi’ katika ghasia za Iran kuliko vita vya siku 12
Jan 25, 2026 00:42Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa utawala wa Israel umeshindwa kwa fedheha kubwa zaidi katika ghasia za kigaidi zilizotokea hivi karibuni nchini Iran ikilinganishwa na vita vya siku 12 vya kulazimishwa vya mwezi Juni mwaka jana.
-
Mkuu wa jeshi la Sudan Kusini awapa wanajeshi siku saba kumaliza uasi
Jan 25, 2026 00:41Mkuu wa majeshi ya Sudan Kusini amewapa wanajeshi muda wa siku saba “kuukandamiza uasi” mashariki mwa nchi, ambao unatishia usalama wa mji mkuu, Juba.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Tutaendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Iran
Jan 25, 2026 00:40Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza kuwa, nchi yake itataendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
-
Amjad Al-Shawa: Watu 18,000 wanahitaji matibabu ya haraka Ukanda wa Gaza
Jan 25, 2026 00:39Mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la Palestina huko Gaza ameripoti kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Bodi ya Amani ya Gaza, jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2026 00:38Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya kupenda jaha na kujipanua kisiasa.
-
Kwa nini Baraza la Haki za Kibinadamu la UN, linaichafua Iran, sambamba na Marekani?
Jan 24, 2026 10:06Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limefuata sera ya Marekani ya kuichafua Iran kwa kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Maafisa na wachambuzi wa Israel: Tusizidishe chumvi; uwezo wa makombora wa Iran si mzaha
Jan 24, 2026 09:43Maafisa na wachambuzi wa Israel, wameonya kuhusu matokeo mabaya ya mzozo wowote na Iran, wakisisitiza kwamba nguvu ya makombora na uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni changamoto kubwa kwa Tel Aviv na kwamba Israel haipaswi kupuuzwa ukweli huo.
-
Vinara zaidi ya 140 wa ghasia za karibuni watiwa nguvuni katika mji wa Hamedan
Jan 24, 2026 09:41Askari usalama wa Iran wamefanikiwa kuwatambua na kuwakamata vinara 140 waliohusika katika machafuko ya karibuni hapa nchini kwa ufadhili na kuungaji mkono na nchi za nje. Vinara hao wa ghasia za karibuni wametiwa nguvuni katika mji wa Hamedan, magharibi mwa Iran.
-
Pande za kisiasa Sudan kuunda muungano mpya ili kurejesha utawala wa kiraia
Jan 24, 2026 09:34Makundi ya kisiasa ya Sudan ambayo yamejitenga na muungano mkuu wa demokrasia yamesema kuwa yanafanya juhudi za kuunda muungano mpana unaolenga kurejesha utawala wa kiraia nchini humo baada ya karibu miaka minne ya serikali inayoongozwa na jeshi.
-
Venezuela: Marekani ilitufanya panya wa maabara katika shambulio la kumteka nyara Maduro
Jan 24, 2026 09:27Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amethibitisha kwamba Marekani ilitumia silaha zisizojulikana wakati wa shambulizi la kumteka nyara Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.