-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kitaifa kulaani ghasia zinazoungwa mkono na Marekani, Israel
Jan 12, 2026 06:45Wairani kutoka makundi yote ya jamii wameanza maandamano ya kitaifa kulaani ghasia za karibuni zinazodaiwa kuungwa mkono na mataifa ya nje, wakionesha mshikamano wao na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Russia yaangusha ndege ya kivita ya Kimarekani aina ya F‑16 ya jeshi la Ukraine
Jan 12, 2026 06:44Mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia imefanikiwa kuiangusha ndege ya kivita ya F‑16 Eagle iliyotengenezwa Marekani, ambayo ilikuwa ikitumiwa na jeshi la anga la Ukraine.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hakuna taifa linaloweza kuvumilia ugaidi dhidi ya raia wake na majeshi yake
Jan 12, 2026 06:43Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran, Abbas Araghchi, amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yanayochochewa na Marekani na Israel, ambayo yamekuwa yakiwalenga raia wa Iran pamoja na vikosi vya usalama. Amesisitiza kuwa hakuna nchi inayoweza kufumbia macho ukatili wa aina hiyo, ambao unavunja misingi ya utu na utulivu wa taifa.
-
IRGC yalaani uingiliaji wa wazi wa Trump katika masuala ya ndani ya Iran
Jan 12, 2026 06:41Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limelaani vikali ugaidi wa hivi karibuni katika ghasi za Iran sambam,ba na kumkosoa vikali Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kuingia mausala ya ndani ya Iran.
-
Balozi wa Uingereza Tehran akabidhiwa malalamiko baada ya wahuni kuvamia ubalozi wa Iran London
Jan 12, 2026 06:38Iran imemwita Balozi wa Uingereza mjini Tehran, Hugo Shorter, kufuatia shambulio dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu huko London na kitendo cha kuondolewa kwa bendera rasmi ya nchi.
-
Iran yatangaza siku tatu za kuwaomboleza waliouawa shahidi katika jinai zilizochochewa na US na Israel
Jan 12, 2026 03:09Serikali ya Iran imetangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya kuwakumbuka waathiriwa, wakiwemo askari wa vikosi vya usalama na wa jeshi la kujitolea, ambao wameuliwa shahidi na wafanyaji fujo na vurugu wanaoungwa mkono na Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel, waliojaribu kuteka nyara maandamano ya amani ya wananchi ya kulalamikia hali ya uchumi nchini.
-
Araghchi: Kuna ushahidi unaowahusisha magaidi wa Mossad na vurugu za mauaji zilizofanywa Iran
Jan 12, 2026 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, kuna ushahidi wa wazi unaohusisha vurugu za mauaji zilizofanywa hapa nchini na magaidi wenye mfungamano na shirika la ujasusi la utawala wa kizayuni wa Israel, Mossad.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 12
Jan 12, 2026 03:07Natumai mambo yako yanakuendea shwari msikilizaji mpenzi, na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ripoti: Israel inapanga kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Ghaza ifikapo mwezi Machi
Jan 12, 2026 02:32Gazeti la Kizayuni la Times of Israel limeripoti kuwa, jeshi la utawala haramu wa Israel linapanga kuanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Ukanda wa Ghaza ifikapo mwezi Machi ili kunyakua ardhi zaidi za eneo hilo na kuusukuma Mstari wa Njano kuelekea magharibi zaidi upande wa pwani ya eneo hilo.
-
Kiongozi wa upinzani Bahrain ahukumiwa kifungo jela, atozwa faini kwa kuikosoa Israel
Jan 12, 2026 02:32Wanaharakati nchini Bahrain wameelezea wasiwasi walionao kuhusu hatima ya kiongozi wa upinzani Ebrahim Sharif baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukosoa uhusiano wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo na utawala wa kizayuni wa Israel.