-
Russia yalaani 'ndoto ya kuchukiza' ya Uingereza ya kutaka kumteka nyara Putin
Jan 12, 2026 02:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, amemkejeli Waziri wa Ulinzi wa Uingereza kwa kusema kwamba angependelea kumteka nyara Rais wa Russia Vladimir Putin.
-
Pezeshkian: Waliofanya fujo na machafuko Iran si wananchi; ni magaidi kutoka nje
Jan 11, 2026 23:45Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui amewaingiza Iran magaidi waliopewa mafunzo maalumu ya kigaidi ili kufanikisha malengo yake na kwamba waliofanya fujo, machafuko na uharibifu katika kona mbalimbali za Iran, si katika wananchi waliokuwa wanaandamana.
-
Pakistani: Trump anapaswa kuzuia kuuliwa Wapalestina na sio kuingilia masuala ya Iran
Jan 11, 2026 23:45Waziri wa Ulinzi wa Pakistani, amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kumtaka Trump akomeshe kwanza jinai za Israel huko Ghaza kabla ya kufikiria kuingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Baraza la Kulinda Katiba la Iran laitaka polisi kuchukua hatua kali dhidi ya wanaoibua ghasia
Jan 11, 2026 23:44Baraza la Kulinda Katiba la Iran limelaani vikali waibua ghasia na fujo ambao wameharibu mali za umma na kuvunjia heshima misikiti katika maeneo mbalimbali ya nchi, likizitaka taasisi za usalama na mamlaka husika kuchukua hatua zote muhimu kurejesha utulivu na sheria kufuatia matukio ya vurugu.
-
Waliuliwa huku wakisoma Qur'ani: Simulizi ya kusikitisha ya mauaji ya RSF huko Darfur
Jan 11, 2026 23:44Ushahidi uliotolewa na manusura wa mauaji ya kupanga na kampeni za mauaji ya halaiki na ya kikabila, hasa dhidi ya kabila la "Masalit", yaliyofanywa na wapiganaji wa Rapid Support Forces (RSF) katika eneo la Darfur, umefichua picha ya kutisha ya hali ya kibinadamu katika eneo hilo, kwani athari zake haziishii tu kwenye majeraha ya vita, bali zimegeuka kuwa mauaji ya halaiki.
-
Serikali ya Sudan yarudi Khartoum baada ya zaidi ya miaka miwili ya vita
Jan 11, 2026 23:44Baada ya zaidi ya miaka miwili ya mapigano makali kati ya jeshi la taifa na wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF), serikali ya Sudan imerejea rasmi mjini Khartoum, hatua ambayo Waziri Mkuu Kamel Idris aliitaja kuwa “mgeuko muhimu katika safari ya taifa.”
-
Kwa nini wananchi wa Iran hawana imani na vyombo vya habari vyenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu?
Jan 11, 2026 23:10Wananchi wa Iran walio macho na ambao siku zote hujitokeza kwenye medani za harakati, kwa mara nyingine tena wamezima kwa umakini malengo maovu na njama chafu zilizoongozwa kwa ushirikiano wa utawala wa kizayuni na Marekani kupitia vyombo vya habari vyenye uadui na taifa hili.
-
Qalibaf: Iran hivi sasa inapigana vita na adui katika pande 4
Jan 11, 2026 07:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Leo tunapigana vita na adui wa Kizayuni na Marekani katika pande nne za kiuchumi, kiuelewa, kijeshi na kigaidi.
-
OIC imefanya kikao kujadili kadhia ya Somaliland, baada ya Wazayuni kuitambua rasmi
Jan 11, 2026 07:27Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao mjini Jeddah, Saudi Arabia kujadili kadhia ya Somaliland na hasa baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutambua rasmi kujitenga na ardhi nyingine za Somalia.
-
Afrika Kusini yatetea mazoezi ya kijeshi ya BRICS
Jan 11, 2026 07:27Serikali ya Afrika Kusini imetetea mazoezi ya kijeshi ya wiki moja yanayozishirikisha nchi kubwa za Russia, Iran, China na nchi nyingine muhimu, ikisema kuwa maneva hayo kwenye pwani yake ni majibu muhimu ya kuzuia kuongezeka mivutano ya baharini ulimwenguni.