-
Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?
Jan 04, 2026 23:12Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.
-
Kaimu Rais wa Venezuela: Kuna mkono wa Israel katika utekaji wa Maduro
Jan 04, 2026 09:06Kaimu Rais wa Venezuela, aliyeidhinishwa na Mahakama ya Juu Zaidi nchini humo, amesema kulikuwa na "kivuli cha Wazayuni" katika operesheni ya kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro.
-
Muqawama: Mashambulizi ya Venezuela yameanika dhati ya Marekani
Jan 04, 2026 08:42Makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi sanjari na kulaani kile yalichokiita ugaidi wa kiserikali wa Marekani dhidi ya Venezuela, yamesema mashambulizi na utekaji nyara wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kwa mara nyingine tena umeanika dhati na hulka halisi ya Marekani.
-
Umoja wa wananchi na uongozi wenye busara: Siri ya kumshinda adui katika vita laini
Jan 04, 2026 08:41Marekani na washirika wa Ulaya wa Ikulu ya White House wameshindwa katika vita laini dhidi ya Iran ya Kiislamu, licha ya kutumia kiwango kikubwa cha fedha na mashirika ya propaganda na kuenea kwa uwongo.
-
Hizbullah: Iran haijataka chochote kwetu mkabala wa kutusaidia, kutuunga mkono
Jan 04, 2026 07:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amepongeza ustadi wa kijeshi wa aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuongeza kuwa, Iran haijataka chochote kutoka kwa harakati hiyo ya Muqawama mkabala wa uungaji mkono wake kwake.
-
Mashambulizi ya US yaliua makumi ya watu Venezuela; Afrika Kusini yalaani
Jan 04, 2026 07:00Zaidi ya watu 40 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, wakiwemo raia na wanajeshi, gazeti la New York Times limeripoti, likimnukuu afisa mkuu wa Venezuela ambaye hakutaka jina lake litajwe.
-
Marekani yaripuka kwa maandamano ya kulaani uvamizi wa kijeshi dhidi ya Venezuela
Jan 04, 2026 06:45Wananchi wa Marekani wamemiminika mitaani na mabarabarani kote nchini humo kushiriki maandamano ya kupinga na kushutumu uchokozi wa kijeshi wa Washington dhidi ya Venezuela, na kutekwa nyara kwa Rais Nicolas Maduro na mkewe, Cilia Flores.
-
Araghchi: Utekaji wa Rais wa Venezuela na Marekani ni mfano dhahiri wa ugaidi wa kiserikali
Jan 04, 2026 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani vikali hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na utekaji wa Rais Nicolás Maduro pamoja na mkewe, akieleza kitendo hicho kuwa “mfano dhahiri wa ugaidi wa kiserikali” na ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya wananchi wa Venezuela.
-
Makamu wa Rais Rodriguez: Maduro ndiye rais pekee wa Venezuela; hatukubali kukoloniwa
Jan 04, 2026 04:02Makamu wa Rais wa Venezuela, Delcy Rodríguez, amelaani vikali shambulio la kijeshi la Marekani aliloliita kinyume cha sheria, ambalo limesababisha kutekwa kwa Rais Nicolás Maduro na Mkewe Cilia Flores. Rodríguez ameitaka Marekani iwaachilie wawili hao mara moja na akaonya kuwa Venezuela iko tayari kujilinda.
-
Meya Mamdani wa New York apongezwa kwa hatua dhidi ya Israel
Jan 04, 2026 04:01Wanaharakati wa kutetea haki za Wapalestina wamemsifu Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, kwa kufuta amri za kiutawala zilizokuwa zikizuia shughuli za makundi yanayounga mkono Palestina.