-
Mamdani ala kiapo kwa Qur'ani, sasa rasmi ni Meya wa New York
Jan 01, 2026 05:06Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York baada ya kuula kiapo akitumia kitabu cha Qur'ani.
-
Wizara ya Usalama imewatia mbaroni watu 7 wenye mfungamano na makundi adui yaliyoko US, UK
Jan 01, 2026 03:42Wizara ya Usalama na Intelijensia ya Iran imewatia mbaroni watu saba wanaohusishwa na makundi yenye uadui na Jamhuri ya Kiislamu ambayo yana makao yao Marekani na barani Ulaya.
-
Mamdani ala kiapo cha Umeya wa New York kwa kutumia Msahafu wa kihistoria wa karne 2 nyuma
Jan 01, 2026 03:42Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York kuapishwa kwa kutumia Kitabu kitakatifu cha Qur'ani ya Msahafu mkongwe na wa kihistoria wa tangu karne mbili zilizopita.
-
Israel yakemewa, yalaaniwa kimataifa kwa kupiga marufuku asasi 37 zinazotoa misaada Ghaza
Jan 01, 2026 02:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani marekebisho ya sheria yaliyopitishwa na Bunge la utawala wa kizayuni wa Israel, Knesset Desemba 29, yanayohusu kusitishwa shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Jeshi la Sudan lakomboa miji miwili ya Kordofan Kaskazini kutoka mikononi mwa RSF
Jan 01, 2026 02:16Jeshi la Sudan SAF limetangaza kuwa siku ya Jumatano lilirejesha udhibiti wa miji ya Kazgeil na Riyadh iliyoko kwenye jimbo la Kordofan Kaskazini baada ya mapigano na kundi la RSF.
-
Ufaransa kupiga marufuku mitandao kwa walio chini ya miaka 15, kwenda na simu skuli za sekondari
Jan 01, 2026 02:11Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu za mkononi katika skuli za sekondari.
-
Kuenea wimbi la mapambano ya umma ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi; changamoto ambayo utawala wa kizayuni haujawahi kuishuhudia
Jan 01, 2026 00:47Wachambuzi wa Kizayuni wamekiri kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na makundi mapya ya Muqawama wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kumbukumbu ya Haj Qassem na Abu Mahdi al-Muhandis yafanyika Baghdad
Dec 31, 2025 23:34Kumbukumbu ya mwaka wa 6 tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi imefanyika katika mji mkuu wa Iraq Baghdad.
-
Hauli ya mwaka wa 6 ya Haj Qassem na Abu Mahdi al-Muhandis yafanyika nchini Iraq
Dec 31, 2025 23:32Kumbukumbu ya mwaka wa 6 tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi imefanyika katika mji mkuu wa Iraq Baghdad.
-
Iran yalaani vitisho vya kijeshi vya wazi vya Trump; yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua
Dec 31, 2025 23:13Iran imelaani rasmi vitisho "vikubwa na vya wazi" vya vita vya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu uwezo wa kiulinzi na miraidi ya nyuklia ya nchi hii inayotekelezwa mwa malengo ya amani na kulitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulaani vitisho hivyo.