-
Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani
Dec 18, 2025 06:57Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa yaungane ili maadui wasiweze kuibua mifarakano miongoni mwao.
-
Baridi kali yaua Wapalestina 17 Gaza; Israel yaendelea kuzuia misaada
Dec 18, 2025 06:56Dhoruba na baridi kali zimesababisha vifo vya Wapalestina 17 katika Ukanda wa Gaza tangu mwanzoni mwa mwezi huu, kwa mujibu wa serikali za mitaa Gaza, huku Israel ikishadidisha vikwazo vikali vya kuingia kwa vifaa vya kuunda makazi na misaada mingine ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililokumbwa na vita.
-
Qatar: Ukiukaji wa usitishaji mapigano wa Israel 'unahatarisha' mchakato mzima wa Gaza
Dec 18, 2025 06:55Waziri Mkuu wa Qatar ameonya kwamba, ukiukaji unaofanywa kila siku wa Israel wa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza unatishia mchakato mzima wa mapatano hayo, huku akitoa wito wa kutekelezwa haraka awamu inayofuata ya makubaliano hayo ili kukomesha vita vya mauaji ya halaiki vya Israeli dhidi ya eneo la Wapalestina lililozingirwa.
-
Putin: Madai ya Magharibi kuwa Russia ni tishio ni urongo, upuuzi
Dec 18, 2025 06:55Rais wa Russia, Vladimir Putin amepuuzilia mbali madai ya Magharibi kuhusu shambulio 'tarajiwa' kutoka Moscow na kuyaeleza kuwa "uongo na upuuzi," akisisitiza kwamba kauli hizo zinatolewa kwa makusudi ili kushadidisha hali ya taharuki na wasiwasi katika eneo.
-
Iran yaalani vikwazo vya upande mmoja vya baharini vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 18, 2025 04:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kulaani vitisho vya Marekani kwamba itaiwekea vikwazo vya baharini Venezuela na kuitaja hatua hiyo kuwa uharamia unaofadhiliwa na serikali.
-
Waasi wa M23 wamebaki Uvira licha ya kutangaza kuwa tayari kuondoka katika mji huo
Dec 18, 2025 03:55Waasi wa kundi la M23 hawajaondoka katika mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya mapema wiki hii kutangaza kuwa wataondoka katika mji huo.
-
Watu wasiopungua 12 wauawa katika shambulizi kwenye eneo la uchimbaji madini huko Plateau, Nigeria
Dec 18, 2025 03:54Takriban watu 12 wameuawa na wengine watatu kutekwa nyara baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo la uchimbaji madini katika kijiji cha Atoso katika jimbo la Plateau nchini Nigeria.
-
Maduro: Mpango wa Marekani wa kuigeuza Venezuela kuwa koloni lake 'kamwe hautatokea'
Dec 18, 2025 03:53Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu "kurejesha mikononi mwa nchi hiyo" ardhi na mafuta ya Venezuela yamefichua nia na sura halisi ya Marekani, na kusisitiza kuwa Washington haiwezi "kamwe" kuigeuza nchi hiyo ya Amerika Kusini kuwa "koloni" lake.
-
Polisi wa Uhispania wawafurusha mamia ya wahamiaji haramu katika mji wa Badalona
Dec 18, 2025 03:52Polisi nchini Uhispania Jumatano waliwafurusha mamia ya wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi katika jengo la shule lililotelekezwa katika mji wa Badalona unaopakana na mji wa Barcelona kaskazini-mashariki mwa Uhispania.
-
Araghchi: Uhusiano wa Iran na Russia umeingia hatua mpya
Dec 17, 2025 23:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia umeingia “hatua mpya na ya kasi zaidi” kufuatia kutiwa saini kwa ramani ya ushirikiano ya miaka mitatu pamoja na mwenzake wa Russia, Sergei Lavrov.