-
Bunge la Zambia lapitisha mswaada wa sheria za uchaguzi, upinzani walalamika
Dec 16, 2025 23:18Bunge la Zambia limepasisha kwa wingi wa kura mswaada wa kurekebisha vifungu vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambavyo upinzani unadai vitamsaidia Rais Hakainde Hichilema katika uchaguzi wa mwaka ujao.
-
Je, mabadiliko ya mkakati wa ECOWAS yatarejesha utulivu Afrika Magharibi?
Dec 16, 2025 23:01Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) waliokutano huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, wamelaani wimbi la mapinduzi ya kijeshi katika eneo hilo na kukubaliana kuunda kikosi cha pamoja cha kuchukua hatua za mapema za kukomesha mapinduzi na ukosefu wa usalama.
-
Mtazamo wa Tunisia na Afrika: Palestina ni jeraha kubwa zaidi la mfumo wa haki wa kimataifa
Dec 16, 2025 08:42Tunisia imeitangaza kadhia ya Palestina kuwa ni jeraha kubwa zaidi la mfumo wa haki duniani.
-
Baghaei: Jamii ya kimataifa ichukue hatua dhidi Israel
Dec 16, 2025 08:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jinai zinazoendelea kufanywa na Israel huko Ghaza na mashambulizi yake dhidi ya Lebanon, na amezitaka nchi za ukanda huu na jamii ya kimataifa ichukue hatua kali za kukabiliana na tishio la mara kwa mara la utawala wa Kizayuni dhidi ya amani na utulivu wa eneo hili na dunia nzima kwa ujumla.
-
Mvua zaharibu asilimia 90 ya mahema ya wakimbizi Ukanda wa Ghaza
Dec 16, 2025 08:15Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko Ghaza hadi hivi sasa zimeshaharibu asilimia 90 ya mahema wa wakimbizi wa ukanda huo tena wakati huu wa kukaribia kuingia kwenye msimu wa baridi kali.
-
Lavrov: Iran haikuwahi kukanyaga makubaliano ya JCPOA
Dec 16, 2025 08:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kwamba, Iran haijawahi kwenda kinyume na ahadi zake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, akisema kwamba Marekani ndiyo iliyoyachana na kuyatupa makubaliano hayo kwenye debe la taka.
-
M23 yatangaza kujiondoa katika eneo la Uvira kama hatua ya kujenga uaminifu
Dec 16, 2025 08:14Kundi la waasi la Harakati ya Machi 23 (M23) lilitangaza jana Jumatatu kwamba limeamua lenyewe tu kuondoa vikosi vyake katika mji wa Uvira wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambao lilidai kuwa liliuteka wiki iliyopita na kusema kwamba, hatua hiyo imechukuliwa ili kujenga imani na kutia nguvu mchakato wa amani kati yao na serikali ya Kinshasa.
-
Khaled Masha'al: Trump anapaswa kuachana na sera ya Israel kwanza
Dec 16, 2025 08:13Mmoja wa viongozi waandamizi wa harakati ya HAMAS amemtaka rais wa Marekani Donald Trump kuachana na sera ya Washington ya Israel Kwanza, akisema kuwa, hata wafuasi wa Trump kama vile MAGA sasa wanaiona Israel ni mzigo unaodhuru maslahi ya Marekani.
-
Iran yaitaka dunia izuie kuendelea mauaji ya Wapalestina Gaza
Dec 16, 2025 03:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, amelaani vikali kuendelea kwa mauaji ya halaiki ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akiashiria mashambulizi ya mabomu yanayoendelea kufanywa na Wazayuni na kuzuiwa kwa misaada ya kibinadamu.
-
Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%
Dec 16, 2025 03:12Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda ya Iran (ulioanza Machi 21) yameongezeka kwa asilimia 48, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.