-
Mawaziri wa Iran na Tunisia: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kukomeshwa uvamizi wa Israel
Oct 16, 2025 22:46Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tunisia wamesisitiza kuwa, kulitatua suala la Palestina kunahitaji kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu na kutekelezwa haki ya kujitawala wananchi wa Palestina.
-
Rais Rajoelina athibitisha kuikimbia Madagascar
Oct 16, 2025 22:46Rais wa Madagascar aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina amethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba aliikimbia nchi hiyo kati ya Oktoba 11 na 12.
-
UNRWA: Watoto zaidi ya 650,000 wa Palestina wanakosa masomo kwa mwaka wa tatu sasa huko Ghaza
Oct 16, 2025 22:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo kuwa zaidi ya watoto 650,000 Wapalestina wanakosa elimu katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka wa tatu mfululizo.
-
China yakataa takwa la Trump la kutonunua mafuta ya Russia
Oct 16, 2025 22:45Ubalozi wa China mjini Washington umesisitiza kuwa, kuwekwa vikwazo vya upande mmoja na mashinikizo mengine yoyote kutoka kwa serikali ya Marekani hakutaathiri ushirikiano wa kunufaishana kati ya China na Russia.
-
Gaza, miaka miwili katika moto na damu; kilio kisicho na majibu katika kimya cha dunia
Oct 16, 2025 22:44Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha kuibuka migogoro 15 ya kimsingi kwa wakazi wa eneo hilo.
-
Araqchi asisitiza kupanuliwa uhusiano wa Iran na Uganda katika nyanja za kiuchumi na kilimo
Oct 16, 2025 09:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kupanua uhusiano na Uganda katika nyanja za kiuchumi, kilimo na biashara.
-
Kuihami Palestina na kuimarisha ushirikiano wa pande kadhaa; Msimamo wa Iran katika Mkutano wa NAM
Oct 16, 2025 07:21Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambao ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Kuongezeka uraibu wa dawa za kulevya katika jeshi la Israel/Uchokozi wa utawala huo dhidi ya Lebanon waendelea
Oct 16, 2025 07:11Taasisi ya Israel ya Al-Sam, inayoshughulikia matibabu ya waraibu wa dawa za kulevya, imefichua katika taarifa yake kwamba asilimia 13 ya wanaopata matibabu ya uraibu katika taasisi hiyo ni askari wa akiba wa jeshi la Kizayuni.
-
Araqchi: Nchi wanachama wa NAM zinapinga utaratibu wa "Snapback"
Oct 16, 2025 06:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuhusu taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) kwamba: "Kwa mtazamo wa jumuiya hiyo, Azimio nambari 2231 la Umoja wa Mataifa bado ni halali na vipenege na muda wa azimio hilo vinapaswa kuzingatiwa.
-
Kharrazi: Iran iko tayari kwa mazungumzo, lakini haitakubali kuburuzwa
Oct 16, 2025 06:12Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni ya Iran, Kamal Kharrazi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa mazungumzo, lakini katu haitakubali kutwishwa matakwa ya aina yoyote.