-
Venezuela yatangaza 'maeneo mapya ya ulinzi' mpaka wa Colombia
Oct 16, 2025 06:11Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amesisitiza kujitolea kwa taifa lake kwa amani, uhuru na utu, akizindua mpango mpya wa kuimarisha ulinzi wa ardhi ya nchi hiyo, huku Marekani ikiidhinisha operesheni za CIA katika eneo hilo.
-
Kamanda Asadi: Kusitisha mapigano Ghaza kunatokana na kukata tamaa Marekani na Israel
Oct 16, 2025 02:57Naibu Mkaguzi wa Kituo cha Kijeshi cha Khatam al-Anbiya amezungumzia makubaliano ya usitishaji vita kati ya HAMAS na utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, makubaliano hayo yanatokana na Marekani na utawala wa Kizayuni kukata tamaa kwa sababu wamechoshwa mno na vita visivyo na mwisho licha ya jinai kubwa walizofanya Ukanda wa Ghaza.
-
AU yaisimamishia uanachama Madagascar kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Oct 16, 2025 02:54Umoja wa Afrika umetengaza kuisimamishia unachama Madagascar "hadi utaratibu wa kikatiba utakaporejeshwa" baada ya mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Andry Rajoelina.
-
Shirika la Mashad: Watu 146 wameuawa El-Fasher, Sudan
Oct 16, 2025 02:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Mashad limerekodi vifo vya raia 146, wakiwemo watoto 41 katika siku za hivi karibuni katika mji El-Fasher magharibi mwa Sudan.
-
Waziri: Mamilioni ya watalii wameitebelea Iran ndani ya miezi 6
Oct 16, 2025 02:08Zaidi ya watalii milioni 3.5 wa kigeni wameitembelea Iran katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, Waziri wa Turathi za Utamaduni, Utalii na Sanaa, Reza Salehi Amiri alisema hayo jana Jumatano.
-
Malori ya misaada yasubiri 'idhini ya Israel' Rafah ili yaingie Gaza
Oct 16, 2025 01:54Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel ili yaingize misaada hiyo ya dharura.
-
Pezeshkian: Maadui wanafurahi wanapoona nchi za Kiislamu zinagombana
Oct 15, 2025 23:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia madhara ya mizozo, ugomvi, vita na uadui baina ya nchi za Kiislamu na kusema kuwa, hivyo ndivyo anavyotaka adui bali hayo ndiyo matokeo ya njama za maadui wa Uislamu na za Uzayuni wa kimataifa. Maadui wa Umma wa Kiislamu daima wamekuwa wakifanya njama za kuzusha mifarakano na kuzidhoofisha nchi za Kiislamu.
-
Muqawama: Hatutaruhusu Palestina iwe ngome ya mamluki wa Kizayuni
Oct 15, 2025 22:58Makundi ya Muqawama ya Palestina yamepongeza operesheni ya kuzisafisha taasisi za usalama katika Ukanda wa Ghaza, na kutangaza kuwa Palestina kamwe haitakuwa kimbilio na ngome ya mamluki wa adui Mzayuni.
-
Uhispania yarindima kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Oct 15, 2025 22:57Makumi ya miji na mikoa kote Uhispania imeshuhudia maandamano makubwa na migomo ya umma ya mshikamano na watu wa Gaza . Migomo na maandamano hayo makubwa ya nchi nzima yalifanya jana Jumatano.
-
Mwanasiasa mkongwe Raila Odinga aombolezwa; Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo
Oct 15, 2025 22:57Rais William Ruto ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku saba kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amollo Odinga.