-
Mfalme wa Jordan: Asia Magharibi itakuwa na hatima mbaya bila kuundwa taifa la Palestina
Oct 15, 2025 22:56Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Oct 15, 2025 10:57Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
-
Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani
Oct 15, 2025 09:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) ili kukabiliana na kuongezeka kwa misimamo ya upande mmoja na uvunjaji sheria unaofanywa na baadhi ya madola.
-
Mauzo ya chuma ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 26%
Oct 15, 2025 08:21Thamani ya mauzo ya madini ya chuma ya Iran ilipanda hadi karibu dola bilioni 4 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2025, na kuashiria ongezeko la asilimia 26 ya mauzo hayo kwa mwaka.
-
DRC, M23 zasaini makubaliano ya kubuni utaratibu wa usitishaji mapigano
Oct 15, 2025 08:12Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23 wametia saini makubaliano mjini Doha ya kuanzisha utaratibu wa ufuatiliaji na uhakiki wa usitishaji mapigano, chini ya upatanishi wa Qatar.
-
Lavrov: Nchi za Magharibi zinachochea migawanyiko Afrika
Oct 15, 2025 08:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov amesema kivuli cha ukoloni kinasalia kuwa chanzo kikuu cha migogoro barani Afrika, na wakoloni wa zamani, sasa hivi wanajaribu kukwepa uwajibikaji kwa kuilaumu Moscow.
-
Jihadul Islami: Muqawama haujaafiki kipengee cha kuweka chini silaha
Oct 15, 2025 07:50Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Jihadul Islami ya Palestina amepuuzilia mbali wazo la kupokonywa silaha wanamuqawama na kusema kuwa, makundi ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina hayajaafiki kipengele kinachohusiana na upokonyaji silaha.
-
Jinai za Marekani nchini Syria
Oct 15, 2025 05:14Marekani imekuwa nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na ISIS na imefanya jinai nyingi nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa zamani na mkongwe wa siasa za Kenya Raila Odinga afariki dunia akiwa matibabuni India
Oct 15, 2025 04:27Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amefariki dunia leo asubuhi huko Koothattukulam, wilayani Ernakulam nchini India, baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati anafanya matembezi yake ya kila asubuhi.
-
Kwa nini makundi ya Palestina yanakichukulia Kikao cha Sharm el-Sheikh kuwa kisicho na maana?
Oct 15, 2025 04:14Harakati ya Hamas imetoa tamko bila kutilia maanani mkutano wa kilele wa "Sharm al-Sheikh" ikisisitiza udharura wa kuzingatiwa haki halali za Wapalestina.