-
Jeshi la Uingereza kufanya mazoezi Tanzania baada ya mzozo na Kenya kuhusu jinai za askari
Jul 25, 2026 03:05Uingereza imefuta zoezi kubwa la kijeshi nchini Kenya baada ya pande hizo mbili kushindwa kutatua mzozo kuhusu mamlaka ya Nairobi ya kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Uingereza wanaotuhumiwa kutenda uhalifu katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Maambukizi ya Ebola DRC yakaribia 3,000 huku vifo vikifikia 1,269
Jul 25, 2026 03:03Maambukizi ya virusi vya Ebola yameongezeka kwa kasi na kufikia karibu kesi 3,000 zilizothibitishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), huku vifo vikizidi 1,260. Hali hii inajiri baada ya mamlaka za afya kuoanisha kanzidata za mikoa na zile za kitaifa, sambamba na kuripotiwa kwa makumi ya kesi mpya katika kitovu cha mlipuko wa virusi hivyo.
-
Mwendesha-mashtaka wa ICC Karim Khan aondolewa kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa kingono
Jul 25, 2026 02:58Mkutano wa Nchi Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) umepiga kura ya kumwondoa Mwendesha Mashtaka Karim Khan kufuatia madai ya utovu wa nidhamu wa kingono; timu yake ya wanasheria imethibitisha hayo, huku ikidokeza kuwa hatua hiyo ilikuwa ya "kisiasa".
-
Ayatullah Khatami: Watu wa Iran wamesimama imara mitaani hadi ushindi wa mwisho
Jul 24, 2026 10:02Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran wamesimama imara mitaani hadi ushindi wa mwisho.
-
Araghchi: Kimya na misimamo ya kinafiki kwa mashambulizi dhidi ya Iran kunawapa kiburi wavamizi kuendeleza uhalifu
Jul 24, 2026 08:46Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, ukimya na misimamo ya kindumakuwili kuhusu mashambulizi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kunawapa nguvu na kuwahamasisha wavamizi kuendelea kutekeleza vitendo vyao.
-
Jeshi la SEPAH laionya Uingereza na kuitaka isizidi kulichafua faili lake
Jul 24, 2026 08:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa onyo kali kwa serikali ya kifalme ya Uingereza, likiitaja kuwa miongoni mwa nchi zilizokuwa na mchango mkubwa katika mashambulizi ya hivi karibuni yaliyofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baqaei aionya GCC na Jordan: Kushiriki uchokozi dhidi ya Iran ni kielelezo cha uvamizi
Jul 24, 2026 08:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amelionya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) pamoja na Jordan kwamba, ushiriki wowote katika mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran utachukuliwa kuwa ni kitendo cha uchokozi wa kijeshi.
-
Hamas: Kuongezeka mashambulizi dhidi ya Gaza ni jaribio la kuua makubaliano ya kusitisha mapigano
Jul 24, 2026 07:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kwamba mashambulizi makubwa ya anga ya utawala wa Israel eneo la Ukanda wa Gaza katika saa kadhaa zilizopita ni mwendelezo wa vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya raia wasio na hatia na msisitizo wa kuvuruga makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Msishiriki katika uchokozi dhidi ya Iran, Gharibabadi azionya nchi za Ulaya
Jul 24, 2026 02:51Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Kazem Gharibabadi, amezionya nchi za Ulaya kwamba kutoa kambi au maeneo ya kijeshi kwa Marekani kutaziweka "katika safu ya wavamizi."
-
Waghana waiomba ICC kuchunguza ukatili wa chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini
Jul 24, 2026 02:48Raia wawili wa Ghana wamewasilisha ombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wakiitaka kufungua uchunguzi wa awali kuhusu vitendo vya ukatili vinavyowalenga wageni nchini Afrika Kusini, wakisema kwamba muundo, ukubwa na kukaririwa mashambulizi yanayowalenga wahamiaji vinaweza kuwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.