-
Hali mbaya ya afya ya akili ya askari wa Marekani ndani ya meli ya kivita ya USS Abraham Lincoln
Aug 18, 2026 03:19Wasiwasi umeongezeka kuhusu kuzorota afya ya kiakili ya wanajeshi waliopo ndani ya meli kubwa ya kivita ya Marekani, USS Abraham Lincoln, huku meli hiyo ikikaribia kumaliza muda wake mrefu zaidi baharinim hali inayopelekea maafisa wa Marekani kukabiliwa na ukosoaji mkali kuhusu mazingira mabovu ndani ya meli hiyo.
-
Mlipuko wa Ebola DRC sasa ni mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo
Aug 18, 2026 03:16Mlipuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umesababisha vifo vya watu 2,325 tangu mwezi Mei.
-
Baghaei: Iran haibadili sera zake kwa kushinikizwa na kuainishiwa muda
Aug 17, 2026 12:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haibadilishi sera zake kutokana na shinikizo au muda wa mwisho uliowekwa.
-
Meja Jenerali Hatami: Ni muhali kwa vituo vya kijeshi vya Marekani kurejea katika hali ya awali
Aug 17, 2026 12:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesema Marekani haina tena ruhusa wala haki ya kuingia katika Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na Mlango Bahari wa Hormuz, akisisitiza kuwa vituo vya kijeshi vya Marekani katu haviwezi kurejea katika hali iliyokuwepo awali.
-
Malaysia: Iran inapaswa kupongezwa kwa kusimama kidete dhidi ya mashambulizi ya Marekani
Aug 17, 2026 10:37Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim amesema msimamo na azma iliyoonyeshwa na Iran katika kukabiliana na mashambulizi ya kijeshi ya Marekani unastahili pongezi.
-
Rais wa Zambia aongoza katika matokeo ya awali huku upinzani ukidai kuchezewa rafu
Aug 17, 2026 10:19Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, hali inayomuweka katika nafasi nzuri ya kushinda muhula mwingine wa urais bila kufanyika duru ya pili.
-
Waziri Mkuu wa Sudan: Mazungumzo ya ndani kwa ajili ya maridhiano kuanza hivi karibuni
Aug 17, 2026 09:55Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris ametangaza kuwa, mazungumzo ya ndani kati ya makundi mbalimbali ya Wasudan yataanza hivi karibuni, kwa lengo la kufikia maridhiano ya kina nchini humo na hatimaye kufanyika uchaguzi huru na wa haki.
-
Kamanda wa IRGC aonya: Adui ajiandae na "mshtukizo wa kimkakati" wa mashambulizi ya Iran
Aug 17, 2026 06:10Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba, japokuwa hatua za kijeshi za Iran hadi sasa zimebaki kuwa za kujihami tu tangu ulipoanzishwa uadui wa kijeshi dhidi ya taifa hili, lakini vikosi vya jeshi vimejiandaa kikamilifu kuchukua hatua ya kushambulia endapo italazimu, huku akiwaonya maadui kutarajia "mshtukizo wa kimkakati."
-
Ansarullah: Uhalifu wa Israel nchini Lebanon na Palestina unafanywa kwa idhini ya Marekani
Aug 17, 2026 06:04Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon.
-
Maandamano Ujerumani na Korea Kusini kupinga utawala wa Kizayuni na kuunga mkono wananchi wa Palestina
Aug 17, 2026 06:02Maandamano makubwa yamefanyika nchini Ujerumani na Korea Kusini kupinga sera na vitendo vya kikatili vya utawala wa Kizayuni na kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina.