-
Katiba DRC: Muungano wa upinzani wa C64 waanza tena mvutano na serikali
Aug 17, 2026 06:01Mvutano wa kisiasa umeibuka tena katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya muda wa mwisho uliotolewa na wapinzani kumalizika siku ya Jumamosi, Agosti 15.
-
Mali yataka Afrika ijitegemee katika teknolojia za usalama
Aug 17, 2026 05:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop, ametoa wito kwa nchi za Afrika kujenga uwezo wa kujitegemea katika teknolojia za ulinzi na usalama, badala ya kutegemea vifaa na teknolojia kutoka mataifa ya kigeni.
-
Kuanzia Uhamiaji hadi Kukimbia: Jinsi Ndoto ya Kizayuni ya "Nchi ya Ahadi" Ilivyoporomoka
Aug 17, 2026 05:25Hali ya walowezi wa Kizayunu kukimbia ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, zinazodaiwa kuwa Israel, na kurejea katika nchi walikotoka imekuwa ishara ya wazi ya mmomonyoko wa ndani wa mradi wa Kizayuni.
-
Majeshi ya Iran yaapa kutorudi nyuma hadi Marekani na Israel zitaposhindwa kikamilifu
Aug 16, 2026 12:49Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeapa kutorudi nyuma hata kidogo hadi pale haki za kisheria za nchi zitakapopatikana kikamilifu na wavamizi, yaani Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, watakapokabiliwa na kipigo cha kukomesha katika eneo hili.
-
Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni nchini Lebanon
Aug 16, 2026 11:48Jamhuri ya Kiislamuy a Iran imelaani vikali uhalifu na jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni nchini Lebanon, ikisisitiza kupinga mashambulizi na ukiukaji wa haki dhidi ya taifa hilo.
-
Rais wa Afrika Kusini asema, mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni yameiaibisha nchi yake
Aug 16, 2026 09:50Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema, nchi yake "ina wasiwasi na aibu kubwa" kwa jinsi vikundi vya wanamgambo walivyowatendea raia wa kigeni wakati wa maandamano ya hivi karibuni ya kupinga wahamiaji yaliyowalazimisha maelfu kukimbia nchi.
-
Kiongozi wa muqawama ataka kuhitimishwa udhibiti wa moja kwa moja wa kifedha wa Marekani kwa Iraq
Aug 16, 2026 09:31Katibu Mkuu wa kundi la muqawama la Iraq la Kata’ib Sayyid al-Shuhada amekosoa vikali udhibiti wa moja kwa moja wa Marekani wa fedha na uchumi na mali za Iraq na kutaka kutafutwa masoko mbalimbali ya mauzo ya nje, kuimarisha uhusiano wa kibenki na kuhitimisha kivitendo udhibiti wa kifedha wa Washington kwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Muirani anyongwa kwa kuwagonga polisi wakati wa ghasia zilizofadhiliwa na wageni
Aug 16, 2026 09:17Mwanamume aliyehukumiwa kwa kuwagonga na kuwajeruhi maafisa kadhaa wa polisi wakati wa ghasia zilizoungwa mkono na kufadhiliwa na wageni kote Iran mwezi Januari, ameuawa.
-
Mkuu wa Idara ya Mahakama amwambia Trump: Iran ndiyo mmiliki na mtawala wa Lango la Hormuz
Aug 16, 2026 05:56Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam-Hossein Mohseni-Eje’i, amezitaja kauli za hivi karibuni za Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu umiliki wa Lango Bahari la Hormuz kuwa ni "upuuzi," akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ndiyo mmiliki na mtawala halisi wa lango hilo.
-
Mauaji ya Kimbari: Sera Rasmi ya Wazayuni
Aug 16, 2026 05:10"Mauaji ya kimbari na ubaguzi wa rangi ni mradi rasmi wa utawala wa Israel." Kwa maneno haya, Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ameangazia uhalisia wa kisiasa na kisheria katika ardhi hizo.