-
Tasu'a ya Imam Hussein (AS) yaunganisha mamilioni ya Wairani, waapa kuendeleza mapambano
Jun 24, 2026 04:23Wairani katika mji mkuu Tehran, majiji, miji na vijiji vyote nchini usiku wa kuamkia leo walikusanyika misikitini na katika vituo vya kidini na barabarani katika marasimu ya kuadhimisha Tasu'a, siku ya tisa ya mwezi Muharram, kuelekea kwenye Siku ya Ashura ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
-
Seneti yapitisha azimio la kuondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vitani na Iran
Jun 24, 2026 03:55Seneti ya Marekani imepiga kura ya kuidhinisha azimio la kuwaondoa wanajeshi wa Marekani kwenye vita na Iran, katika hatua ambayo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni kielelezo cha pigo la kisiasa kwa Rais Donald Trump.
-
Kamanda: Jeshi la Iran bado halijaonesha uwezo wake kamili
Jun 24, 2026 03:45Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamebadili mwelekeo wa kimkakati kutoka kwenye ulinzi pekee na kuelekea kwenye mafundisho ya kijeshi ya mashambulizi (offensive military doctrine), huku operesheni za kutangulia kumzuia adui (preemptive operations) zikiwa sasa mezani.
-
Spika Qalibaf akutana na Sultani wa Oman kufuatia mazungumzo ya Uswisi
Jun 24, 2026 03:40Spika wa Bunge la Iran ambaye pia ni mkuu wa timu ya mazungumzo na Marekani, Mohammad Baqer Qalibaf, amekutana na Sultani Haitham bin Tariq wa Oman jijini Muscat, ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili na matukio ya hivi karibuni kuhusu Mkataba wa Maelewano (MoU) kati ya Tehran na Washington.
-
Sudan Kusini yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa kwanza
Jun 24, 2026 03:36Sudan Kusini imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza tarehe 22 Desemba mwaka huu, baada ya miaka mingi ya kuahirishwa mara kwa mara tangu nchi hiyo ilipojitangazia uhuru, zaidi ya muongo mmoja uliopita.
-
Iran: Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote haramu dhidi ya Iran
Jun 24, 2026 03:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kuwa Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyoiwekea Iran kinyume cha sheria, kulingana na mkataba wa maelewano uliotiwa saini kati ya Iran na Marekani.
-
Karbala yajiandaa kwa ajili ya mamilioni ya mazuwari wa Siku ya Ashura
Jun 23, 2026 13:20Mamlaka za Iraq zinajitayarisha kwa ajili ya kupokea mamilioni ya mazuwari wa Waislamu wanaoendelea kumiminika katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya siku za Tasu'a na Ashura na kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).
-
"Uhispania ni nchi ya Kikristo, si ya Kiislamu": Kusujudu Yamal kwachochea kampeni chafu ya mrengo wa kulia
Jun 23, 2026 13:11Dakika chache baada ya kufunga bao lake la kwanza katika Kombe la Dunia Jumapili iliyopita, mchezaji wa timu ya taifa ya Uhispania, Lamine Yamal alijikuta akikabiliwa na wimbi kubwa la mashambulizi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusujudu akimshukuru Mungu kwa bao alilofunga dhidi ya timu ya taifa ya Saudi Arabia kwenye mashindano ya Kombe la Dunia FIFA 2026.
-
Netanyahu alinasa vipi katika mtego wa vita vyake mwenyewe?
Jun 23, 2026 11:38Kutiwa saini Mkataba wa Maelewano wa Islamabad kati ya Iran na Marekani kumevuruga milinganyo anayoipendelea Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni na kuuweka utawala huo katika hali isiyo na mfano wake ya kutengwa kimkakati, kudhoofika kijeshi na mgogoro wa kisiasa; hali ambayo hata vyombo vya habari vya Israel yenyewe vinaitaja kuwa "mbaya sana kwa Israel."
-
Yemen yasema uwepo wowote wa Israel katika maji ya Somalia utakuwa shabaha halali
Jun 23, 2026 11:20Mwanachama wa ngazi za juu wa harakati inayotawala nchini Yemen ya Ansarullah ameonya kuhusu uwepo wa vikosi vya jeshi la Israel katika maji ya Somalia, akisema kwamba kupelekwa huko wanajeshi hao kutatambuliwa kuwa shabaha halali.