Ripoti
  • Hasira za mkizi

    Hasira za mkizi

    Jun 25, 2016 06:51

    Ukisikia hasira za mkizi ndizo hizi...

  • Ronaldo ashindwa kujizuia...

    Ronaldo ashindwa kujizuia...

    Jun 25, 2016 06:49

    Wakati mchezaji nguli wa kandanda anaposhindwa kuficha hasira zake...

  • Mtangazaji awashangaza watazamaji...

    Mtangazaji awashangaza watazamaji...

    Jun 25, 2016 06:47

    Teknolojia imepiga hatua kiasi kwamba kila leo kunakuja vitu vipya kama huyu mtangazaji wa kike alivyowashangaza watazamaji wake kwa kuchupa ndani ya kioo cha runinga.

  • Fanya ajali zako kokote, lakini usifanye ajali na polisi

    Fanya ajali zako kokote, lakini usifanye ajali na polisi

    Jun 25, 2016 06:44

    Ajali ya pikipiki na gari la polisi. Nani mkosa, polisi ambaye ameondoa gari bila ya kuangalia nyuma au mwendesha pikipiki ambaye ameendesha bila ya tahadhari na kwa kasi kubwa katika sehemu penye msongamano wa magari?

  • Video: Operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi waliotaka kufanya hujuma Tehran, Iran

    Video: Operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi waliotaka kufanya hujuma Tehran, Iran

    Jun 22, 2016 12:46

    Baada ya kusambaratisha njama za magaidi wa kitakfiri waliotaka kufanya mashambulio mjini Tehran, Wizara ya Usalama wa Ndani ya Iran imesambaza mkanda wa video unaoonesha sehemu moja ya operesheni ya kutiwa mbaroni magaidi hao wakiwa katika maficho yao mjini Tehran.

  • Kuna baadhi ya watu wameyachoka maisha yao...

    Kuna baadhi ya watu wameyachoka maisha yao...

    Jun 18, 2016 06:50

    Akili ikiongozwa vibaya huwa hasara kwa mwili. Kutafuta umaarufu huweza kuwa balaa kwa watu. Mtu huyu anamlima mamba kwa kutumia mdomo wake bila ya kujali hatari inayoweza kumaliza uhai wake...

  • Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Jun 18, 2016 06:47

    Hatua ya polisi ya Kenya ya kuwatia nguvu wanasiasa kadhaa kwa tuhuma za kuchochea machafuko na chuki za kikabila imepokewa kwa hisia tofauti, huku sauti ya chama cha ODM ikiwa kali zaidi kupinga zoezi hilo. Mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya na ripoti zaidi...

  • Bajeti za nchi za Afrika Mashariki na Kati na changamoto zake

    Bajeti za nchi za Afrika Mashariki na Kati na changamoto zake

    Jun 18, 2016 06:41

    Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC zimesoma bajeti zao huku zikiwa zinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo kutoongezwa mishahara na kupandisha kodi za bidhaa mbalimbali. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kampala ametuandalia ripoti hii...

  • Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq

    Operesheni ya kuwatia mbaroni magaidi Fallujah, Iraq

    Jun 18, 2016 06:26

    Mkanda huu wa video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, unaonesha namna kikosi maalumu cha Iraq kinavyowatia mbaroni kwa mkupuo magaidi kadhaa wa Daesh mjini Fallujah wakiwa wamejificha kwenye kibanda kimoja cha udongo...