-
Waziri wa Israel: Mashambulizi ya Iran yameharibu kambi mbili kuu za jeshi; akejeli taarifa za Israel kushambulia Iran + Video
Apr 19, 2024 10:23Waziri wa Usalama wa Ndani ya serikali ya Benjamin Netayahu amekiri kwamba shambulio la kulipiza kisasi la Iran dhidi ya Israel limesababisha hasara kubwa za kijeshi kwa utawala wa Kizayuni na wakati huo huo ameziita taarifa zilizodai kuwa utawala wa Kizayuni umefanya shambulizi ndani ya Iran leo Ijumaa kuwa ni istihzai.
-
PressTV: Makombora yote ya hypersonic yaliyotumiwa na Iran dhidi ya Israel yalilenga shabaha + Video
Apr 15, 2024 13:45Makombora yote ya hypersonic yaliyotumiwa katika mashambulizi ya Iran ya kuiadhibu Israel yamepiga malengo yaliyokusudiwa baada ya kukwepa mifumo ya ulinzi ya anga ya utawala huo harami na washirika wake.
-
Makombora ya kisasa ya Iran ambayo Israel inayaogopa
Apr 13, 2024 06:09Klipu hii ina maelezo ya makombora tisa ya kisasa kabisa ya Iran yenye usahihi wa hali ya juu ambayo yameuingiza woga utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video
Apr 04, 2024 11:38Masheikh wawili maarufu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezungumzia umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na uungaji mkono wa Waislamu wa nchi hiyo kwa kadhia nzima ya Palestina hususan Ghaza.
-
VIDEO: Muqawama wa Iraq: Tumeshambulia Haifa kulipiza kisasi cha jinai za Wazayuni Ghaza
Apr 03, 2024 07:08Makukndi ya Muqawa wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameshambulia kambi ya jeshi la anga ya Tel Nof ya utawala wa Kizayuni kwenye mji wa Haifa ili kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Jeshi la Israel lakiri kuwaua na kuwazika Wapalestina wawili kwa tingatinga
Mar 30, 2024 06:04Televisheni ya CNN ya Marekani imenukuu taarifa ya jeshi la Israel likikiri kuwaua Wapalestina wawili na kufukia miili yao kwa kutumia tingatinga, baada ya televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kurusha hewani kipande cha video kinachoonyesha undani wa mauaji hayo.
-
Muqawama wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya maeneo ya Wazayuni + VIDEO
Mar 07, 2024 02:30Makundi ya muqawama wa Kiislamu ya Iraq yametangaza kuwa yameendelea kuyashambulia maeneo mbalimbali ya utawala wa Kizayuni kwa kutumia droni (ndege zisizo na rubani) na kwamba mashambulizi hayo yataendelea hadi Israel itakapokomesha mashambulio yake dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Washington inabeba dhima ya kifo cha mwanajeshi aliyejichoma moto nje ya Ubalozi wa Israel huko Washington + video
Feb 27, 2024 12:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema serikali ya Marekani inabeba dhima ya kifo cha mwanajeshi wa nchi hiyo aliyejichoma moto nje ya Ubalozi wa Israel huko Washington akipinga uungaji mkono wa serikali ya Rais Joe Biden kwa mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel huko Ukanda wa Gaza.
-
Ghaza imeendelea kuwa makaburi ya halaiki ya wanajeshi vamizi wa Israel + VIDEO
Jan 24, 2024 06:57Izzat al-Rishq, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, ukanda wa Ghaza utaendelea kuwa makaburi ya halaiki ya wanajeshi wa Israel waliouvamia ukanda huo na kwamba mfano wa wazi ni kuangamizwa wanajeshi 24 wa utawala wa Kizayuni kwa mkupuo mmoja siku chache zilizopita.
-
Yemen: Mashambulizi ya US na UK hayatotuzuia kuliunga mkono taifa la Palestina + VIDEO
Jan 12, 2024 10:35Msemaji wa majeshi ya Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Sarii amesema kuwa, mashambulizi ya kiuadui ya Marekani na Uingereza hayatobadilisha msimamo wa Yemen wa kuliunga mkono taifa la Palestina ikiwemo Ghaza na kwamba uadui huo uliofanyika mapema leo Ijumaa dhidi ya Yemen hautoachwa vivi hivi bila ya majibu na kuadhibiwa madola hayo ya kibeberu.