-
SAUTI, Waislamu wahimizwa kutozembea kuzipata fadhila za 'Usiku wa Heshima' katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani
May 18, 2020 11:05Waislamu wamehimizwa kuendeleza ibada mbalimbali ndani ya kumi la mwisho la mwezi huu wa Ramadhani ili kuweza kupata fadhila za Usiku wa Heshima (Lailatul-Qadr).
-
SAUTI, Madereva wa malori kutoka nchi za Kenya na Tanzania: Tunapoingia Uganda tunapachikwa jina la Corona sambamba na kunyanyaswa
May 13, 2020 12:06Madereva wa malori ya masafa marefu kutoka Kenya na Uganda kwenda nchi jirani ya Uganda wamelalamikia vitendo vya kunyanyaswa na kunyanyapaliwa baada ya kuingia nchi hiyo.
-
SAUTI, Burundi yasema kuwa, wasimamisi wa uchaguzi watakaoingia nchi hiyo watawekwa kwanza karantini kwa siku 14
May 11, 2020 10:19Uchaguzi wa urais, bunge na madiwani wa tarehe 20 ya mwezi huu nchini Burundi huenda utafanyika bila kuwepo waangalizi kutoka nje ya nchi.
-
Mashambulizi makali ya waasi yaharibu Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya, yaua watu 6 + Video
May 10, 2020 03:19Mashambulizi makali ya maroketi yaliyofanywa jana Jumamosi na waasi dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mitiga, jijini Tripoli, Libya yameua raia sita na kusababisha hasara kubwa kwenye uwanja huo.
-
SAUTI, Raia wa Kenya wakasirishwa na tabia ya Shirika la Umeme la nchi hiyo (Kenya Power) kukatakata huduma hiyo
May 09, 2020 10:26Shirika la Kusambaza Umeme nchini Kenya (Kenya Power), limetuhumiwa kwa kufanya uzembe mkubwa katika utoaji huduma za umeme kwa raia wa nchi hiyo huku wananchi wengi wakiitaka serikali kutoa vibali kwa makampuni mengine kuanza kuusambaza umeme ili kuleta ushindani wa kibiashara.
-
Sauti, Wamiliki wa magari ya kusafirishia mizigo nchini Kenya watishia kuyaweka kando kwa kudai kuwa wananyanyaswa na serikali
May 07, 2020 12:03Wamiliki na wahudumu katika sekta ya magari ya kusafirishia mizigo (malori) kwa masafa marefu wametishia kuyasusa barabarani magari hayo hadi pale serikali za Kenya na Uganda zitakapolegeza masharti ziliyoyaweka.
-
Hatimaye serikali ya Kenya yapambana na corona kwa kufunga kikamilifu maeneo ya Nairobi na Mombasa + Sauti
May 06, 2020 11:37Hatimaye serikali ya Kenya imeamua kuchukua uamuzi mgumu wa kuifungia kikamilifu baadhi ya mitaa ya Nairobi na Mombasa kwa muda wa siku 15 kutokana na ukaidi wa baadhi ya watu wasioheshimu maagizo ya maafisa wa afya.
-
SAUTI, Madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka Tanzania na Kenya waitaka Rwanda kuwafutia ushuru wa usalama
Apr 29, 2020 10:22Baadhi ya madereva wa malori ya kubeba mafuta ya petroli kutoka bandari za Dar es salaam, Tanzania na Mombasa, Kenya wameiomba Wizara ya Biashara na Viwanda ya Rwanda kuwaondolea ushuru wanaoulipa kila siku kwa ajili ya usalama wa magari yao.
-
SAUTI, Bunge la Chad lazishangaza asasi za kutetea haki za binaadamu, baada ya kufuta ghafla adhabu ya kifo
Apr 29, 2020 10:21Asasi za kuteteta haki za binaadamu nchini Chad, zimefurahishwa na uamuzi wa ghafla wa bunge wa kufuta adhabu ya kifo dhidi ya wafungwa ndani ya taifa hilo.
-
SAUTI, Kampeni za uchaguzi wa rais wa kumtafuta mrithi wa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi zimezinduliwa rasmi Jumatatu ya leo
Apr 27, 2020 12:06Kampeni za uchaguzi mkuu wa wa rais, bunge na madiwani nchini Burundi utakofanyika tarehe 20 mwezi ujao, zimezinduliwa rasmi Jumatatuu ya leo kwa shamrashamra.