-
Barua ya Iran kwa Guterres, sisitizo la mazungumzo baina ya nchi za Asia Magharibi + Video
May 22, 2019 22:11Majid Takht-Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumanne, Mei 21, 2019 alimwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusiana na njama za waenezaji fitna wa kigeni kwenye eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
SAUTI, Rais John Magufuli Tanzania: Huwezi kupata utajiri wa haraka kwa kupandisha bei bidhaa ndani ya Ramadhani
May 19, 2019 12:54Rais wa John Pombe Magufuli wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania wenye kupandisha bei za bidhaa zinazotumika zaidi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani waache tabia hiyo mara moja, kama ambavyo pia ametaka kuwepo usimamizi stahiki kuhusiana na suala hilo.
-
Lugha tamu ya Kiswahili yazidi kung'ara nchini Burundi + Sauti
May 13, 2019 13:34Lugha ya Kiswahili inazidi kunawiri nchini Burundi hasa baada ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo sehemu kubwa ya watu wake wanazungumza lugha hiyo. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti
May 13, 2019 13:27Nchini Uganda hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola usiingie nchini humo kutokea nchi jirani ya DRC hasa kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumiminika nchini Uganda. Mwandishi wa Radio Tehran ana ripoti zaidi kutoka Kampala.
-
Trump amdhalilisha mfalme wa Saudi Arabia kwa mara ya kumi + Video
May 11, 2019 22:05Kwa mara ya pili katika kipindi cha siku 10, rais wa Marekani ameendelea kuudhalilisha utawala wa kifalme wa Saudi Arabia akiwemo mfalme Salman bin Abdulaziz mwenyewe.
-
SAUTI, Rais Museven wa Uganda: Ufisadi wa viongozi wa serikali niliowachagua unanivunja moyo sana, kwani nilitaraji wawe waadilifu
May 10, 2019 12:36Rais Yoweri Museven wa Uganda amesema kuwa, amekatishwa tamaa na mienendo hasi ya viongozi wa serikali aliowachagua ambapo awali alidhani kwamba wangekuwa waadilifu kazini.
-
SAUTI, Mufti wa Tanzania: Uislamu ni dini ya amani sana haitambui ugaidi na Waislamu Kenya wawataka polisi kutowasakama na ugaidi
May 10, 2019 10:23Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi amewataka Waislamu wa nchi hiyo kukataa kuwa sehemu ya mifaranakano katika jamii na badala yake wawe wamoja na hivyo wafanikishe kuleta maendeleo.
-
SAUTI, Kamati ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar yafanya kikao cha dharura na kuwatahadharisha watu wanaoishi mabondeni
May 10, 2019 10:23Kamati ya Kitaifa Kukabiliana na Maafa Zanzibar imefanya mkutano wa dharura kuchunguza ukubwa wa hasara na maafa vilivyosababishwa na mvua za siku tatu zilizonyesha hivi karibuni visiwani humo.
-
SAUTI, Rais Paul Kagame wa Rwanda: Wale wanaokusudia kuchafua amani yetu tutawanasa popote walipo duniani, ni muda tu
May 09, 2019 00:23Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, wale wote wanaokusudia kuchafua usalama na amani ya Rwanda watanaswa na serikali ya Kigali popote pale walipo duniani.
-
SAUTI, Serikali ya Zanzibar: Wafanyabiashara wasipandishe bei ya vyakula mwezi Ramadhani kwani hakuna uhaba wa chakula
May 07, 2019 14:12Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka wafanyabiashara kutopandisha bei za bidhaa muhimu katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.