-
Familia: Yumkini Mzee Tshisekedi aliuawa
Feb 14, 2017 13:48Familia ya Tshisekedi yadai kuwa huenda mwanasiasa huyo mkongwe aliuawa.....
-
SAUTI: Kiswahili lugha rasmi nchini Rwanda, Kifaransa chatupwa
Feb 13, 2017 12:13Wananchi wa Rwanda wamefurahishwa na uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kupitisha Kiswahili kama lugha rasmi nchini humo.
-
SAUTI: Mahojiano kuhusu maandamano ya sherehe za mapinduzi ya Kiislamu jiji Tehran hii leo, wananchi wailaani vikali Marekani
Feb 10, 2017 04:44Na Ijumaa ya leo tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 10 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 38 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.
-
SAUTI: Vita dhidi ya mihadarati nchini Tanzania
Feb 05, 2017 03:37Jeshi la Polisi nchini Tanzania pamoja na serikali ya nchi hiyo imetupiwa lawama za kukithiri biashara haramu ya dawa za kulevya na kuongezeka idadi ya watumiaji wa dawa hizo haramu. Mwandishi wa Radio Tehran wa jijini Dar es Salaam Tanzania, amefuatilia jambo hilo na kutuandalia ripoti ifuatayo.
-
SAUTI: Mahakama ya Haki na Uadilifu ya Kimataifa imetupilia mbali ombi la Kenya la kutaka kutosikilizwa kesi ya mpaka na Somalia
Feb 02, 2017 13:48Serikali ya Kenya imepoteza ombi lake katika mahakama ya kimataifa kuhusu masuala ya haki, baaya ya kuitaka mahakama hiyo kutosikiliza kesi kuhusu mpaka wake na Somalia.
-
VIDEO: Maadui wachoma moto kituo cha Waislamu nchini Ujerumani
Feb 01, 2017 12:14Kituo cha Kiislamu cha mji wa Bielefeld nchini Ujerumani kimechomwa moto ikiwa ni kuendelezwa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Video: Jeshi la Yemen laangamiza meli ya kivita ya Saudia
Jan 31, 2017 03:07Jeshi la Yemen jana Jumatatu liliteketeza meli ya kivita ya Saudia na kuangamiza makumi ya wanajeshi vamizi wa nchi hiyo na kujeruhi wengine wengi.
-
SAUTI: Mgogoro wa kisiasa Zanzibar, wawalazimu vijana wa CUF kuwasilisha barua ya malalamiko katika ofisi za Umoja wa Mataifa
Jan 27, 2017 12:13Kufuatia mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar kuendelea kutokota, vijana wa Chama cha Wananchi CUF wamewasilisha barua ya malalamiko yao katika ofisi ya Umoja wa Mataifa visiwani humo.
-
SAUTI: Polisi ya Rwanda yawashikilia Warundi 12 katika magendo ya binaadamu wakati wakienda nchi za Asia kufanya kazi za ndani
Jan 24, 2017 13:52Polisi nchini Rwanda inawashikilia watu 13 kwa kuhusika na vitendo vya magendo ya binaadamu kwenda nchi za Asia
-
SAUTI: Wakenya wa kabila la Wanubi walalamikia kusumbuliwa na serikali katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa kuelekea uchaguzi
Jan 24, 2017 13:48Wakenya wa kabila la Wanubi nchini Kenya wameilalamikia serikali kwa kuwasumbua katika harakati za kusaka vitambulisho vya taifa ambavyo vitawapa haki ya kushiriki uchaguzi wa mwezi Agosti mwaka huu.