-
SAUTI: Wabunge Uganda: Wizara ya Afya ipewe bajeti kubwa, ili tupate jamii ya Waganda wenye afya watakaofanya kazi masaa mengi zaidi
Jan 23, 2017 15:11Wabunge nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuiongezea bajeti zaidi Wizara ya Afya kwani njia hiyo itaiwezesha wizara hiyo kutoa huduma bora kwa wananchi ambao ndio wafanyakazi wa serikali.
-
SAUTI: Askari 850 wa Burundi watatumwa CAR wiki hii
Jan 23, 2017 13:13Wanajeshi wapatao 188 wa Burundi wameelekea Jamuhuri ya Afrika ya Kati kujiunga na kikosi cha kofia ya buluu cha Umoja wa Mataifa cha kusimamia amani nchini humo.
-
SAUTI: Kauli ya serikali ya Kongo DR juu ya kurejea waasi wa M23 nchini, imeibua hali ya swintofahamu, baada ya pande nyingi kuipinga
Jan 19, 2017 13:15Taarifa iliyotolewa na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo juu ya kurejea nchini humo waasi wa M23 kutoka Uganda, imeibua hali ya sintofahamu, baada ya pande tofauti kurushiana mpira katika kadhia hiyo.
-
SAUTI: Burundi na AU zamaliza vutanikuvute kuhusiana na suala la ulipaji mishahara kwa askari wa nchi hiyo walioko Somalia
Jan 19, 2017 13:08Serikali ya Burundi imeelewana na Umoja wa Afrika kuhusiana na swala la ulipaji mishahara ya wanajeshi wa nchi hiyo wanaohudumu katika kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika AMISOM nchini Somalia.
-
SAUTI: Mazungumzo kwa ajili ya kuutatua mgogoro wa kisiasa Burundi, yameanza jijini Arusha, Tanzania kwa swintofahamu
Jan 16, 2017 15:05Awamu nyingine ya mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi imeanza jijini Arusha, kaskazini mwa Tanzania.
-
SAUTI: Awamu nyingine ya uandikishaji wa wapigakura nchini Kenya imeanza Jumatatu hii chini ya anga ya tuhuma za wapinzani
Jan 16, 2017 13:49Awamu ya pili ya zoezi la kitaifa la usajili wa wapigakura nchini Kenya limeanza rasmi Jumatatu hii.
-
SAUTI: Serikali ya Kenya yasema, Tumegundua genge la vijana wanaopatiwa mafunzo ya utumiaji silaha haramu kuelekea uchaguzi
Jan 14, 2017 13:41Serikali ya Kenya imetangaza kupata ripoti kamilifu za kijasusi kuhusu vijana wanaopata mafunzo ya utumiaji wa silaha kama vile bastola na bunduki.
-
SAUTI: Vijana wa Kiislamu watakiwa kuoa mapema ili kuepukana na uasherati na kufuata mila chafu
Jan 14, 2017 13:31Jamii ya Waislamu imetakiwa kufuata mienendo Bwana Mtume Muhammad (saw) na kuachana na mila zilizo kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislamu.
-
SAUTI: Kenya yaonya kuhusu umiliki wa silaha ndogondogo haramu kuelekea uchaguzi
Jan 12, 2017 14:30Serikali ya Kenya imeapa kukabiliana na swala la ongezeko la silaha ndogondogo miongoni mwa wananchi wake huku taifa hilo likijiandaa kwa ajili ya uhaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
-
SAUTI: Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi visiwani Zanzibar
Jan 12, 2017 13:52Leo visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Januari 1964.