-
SAUTI: Waislamu wafuatilia kwa karibu kesi ya aliyemtukana Mtume Muhammad SAW, Zanzibar
Jan 06, 2017 14:55Waislamu visiwani Zanzibar na ukanda mzima wa Afrika Mashariki wanaendelea kufuatilia kwa karibu hatua zinazochukuliwa na vyombo vya sheria vya Zanzibar kuhusiana na Abdallah Saleh Abdallah aliyeonekana kwenye mkanda wa video akitoa maneno machafu mno dhidi ya Uislamu.
-
Polisi ya Uganda yawaomba radhi Waislamu kwa kuhujumu msikiti
Jan 05, 2017 13:11Polisi nchini Uganda imeomba radhi kutokana na kitendo cha maafisa wake kufanya kuhujumu msikiti mmoja nchini humo mwishoni mwa mwezi uliopita. Disemba 27 mwaka uliomalizika wa 2016,
-
SAUTI: Aliyemtukana Mtume Muhammad SAW Zanzibar azidi kulaaniwa
Jan 01, 2017 02:51Wiki hii, Waislamu wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wameshtushwa na kulaani vikali kutukanwa Bwana Mtume Muhamma SAW visiwani humo.
-
VIDEO: Wananchi wa Syria wakisherehekea kukombolewa Halab (Allepo)
Dec 23, 2016 03:45Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa miaka minne.
-
SAUTI: Mahojiano na Naibu Mufti wa Malawi kuhusu Umoja wa Waislamu
Dec 20, 2016 07:27Mkutano wa 30 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu ulimalizika Jumamosi usiku mjini Tehran kwa taarifa iliyosisitiza ulazima wa kuwepo mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kuchukuliwa tahadhari dhidi ya njama za maadui za kuibua mifarakano katika nchi za Kiislamu.
-
SAUTI: Ziara ya Rais wa Misri nchini Uganda
Dec 20, 2016 07:26Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri amefanya ziara nchini Uganda na kuonana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo na kujadiliana nao masuala muhimu ya pande mbili ikiwemo mikakati ya kutumia vizuri maji ya mto Nile. Mwandishi wa Raido Tehran na ripoti zaidi kutoka mjini Kampala.
-
SAUTI: Mgomo wa madaktari waendelea nchini Kenya
Dec 07, 2016 15:27Mgomo wa madaktari unaendelea nchini Kenya huku wagonjwa zaidi wakiripotiwa kupoteza maisha kutokana na ukosefu wa huduma katika hospitali za umma. Mwandishi wetu Seifullah Murtadha anaripoti kutoka Mombasa, Kenya.
-
SAUTI: Wagonjwa wa akili wakimbia hospitalini Kenya
Dec 06, 2016 08:42Huku mgomo wa madaktari ukiendelea nchini Kenya, zaidi ya wagonjwa mia moja wa akili wameripotiwa kutoroka hospitalini. Mwandishi wa Radio Tehran amefuatilia habari hiyo na kutuandalia ripoti ifuatayo...
-
SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
Nov 30, 2016 14:45Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.
-
SAUTI: Mikataba mibovu, rushwa na uongozi mbaya chanzo cha umaskini Afrika
Nov 26, 2016 04:07Mikataba mibovu, rushwa na kushindwa viongozi kusimamia miongozo ya kiuchumi katika nchi za Afrika kumetajwa kuwa ndicho chanzo za kuzifanya nchi hizo zishindwe kujikomboa kimaendelea na kufanya wananchi wake walio wengi waishi katika umaskini wa kupindukia.