SAUTI: Mgomo wa madaktari waendelea nchini Kenya
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i20968-sauti_mgomo_wa_madaktari_waendelea_nchini_kenya
Mgomo wa madaktari unaendelea nchini Kenya huku wagonjwa zaidi wakiripotiwa kupoteza maisha kutokana na ukosefu wa huduma katika hospitali za umma. Mwandishi wetu Seifullah Murtadha anaripoti kutoka Mombasa, Kenya.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Dec 07, 2016 15:27 UTC