SAUTI: Kiswahili lugha rasmi nchini Rwanda, Kifaransa chatupwa
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i25091-sauti_kiswahili_lugha_rasmi_nchini_rwanda_kifaransa_chatupwa
Wananchi wa Rwanda wamefurahishwa na uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kupitisha Kiswahili kama lugha rasmi nchini humo.
(last modified 2026-02-21T22:51:18+00:00 )
Feb 13, 2017 12:13 UTC

Wananchi wa Rwanda wamefurahishwa na uamuzi wa bunge la nchi hiyo wa kupitisha Kiswahili kama lugha rasmi nchini humo.

Hii imefuatia Baraza la Mawaziri kukipitisha Kiswahili mwaka jana. Rwanda inasema kwamba inafanya hivyo ili kwenda sambamba na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo ni mwanachama

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi.