SAUTI: Vita dhidi ya mihadarati nchini Tanzania
Feb 05, 2017 03:37 UTC
Jeshi la Polisi nchini Tanzania pamoja na serikali ya nchi hiyo imetupiwa lawama za kukithiri biashara haramu ya dawa za kulevya na kuongezeka idadi ya watumiaji wa dawa hizo haramu. Mwandishi wa Radio Tehran wa jijini Dar es Salaam Tanzania, amefuatilia jambo hilo na kutuandalia ripoti ifuatayo.
Tags