-
Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC
Oct 02, 2016 04:46Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema huenda uchaguzi mkuu usifanyike nchini humo mwezi ujao wa Novemba kama ilivyotarajiwa kutokana na sababu za kilojistiki.
-
Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena
Sep 26, 2016 10:43Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia uliopangwa kufanyika kuanzia tarehe 24 mwezi huu hadi tarehe 10 ya mwezi ujao wa Oktoba umeakhirishwa.
-
Mahakama ya Katiba ya Gabon yaaidhinisha matokeo ya uchaguzi
Sep 25, 2016 04:45Mahakama ya Katiba ya Gabon imeidhinisha matokeo ya uchaguzi wa rais wa hivi karibuni.
-
Hali bado tete Gabon; Mahakama ya Katiba kutoa uamuzi wa shtaka la Jean Ping
Sep 23, 2016 04:27Machafuko yanaendelea kushuhudiwa nchini Gabon huku Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo leo ikitarajiwa kutangaza uamuzi wake kuhusiana na matokeo ya uchaguzi.
-
Iran yatangaza tarehe ya uchaguzi wa Rais
Sep 14, 2016 23:58Waziri wa Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uchaguzi ujao wa Rais nchini utafanyika tarehe 18 Mei mwakani.
-
Ping ataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu machafuko ya uchaguzi Gabon
Sep 09, 2016 23:41Jean Ping mgombea wa kiti cha Urais nchini Gabon aliyeshindwa na Rais Ali Bongo katika uchaguzi wa mwezi uliopita ametoa Mwito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana machafuko yaliyotokea baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.
-
Mahakama ya Katiba ya Zambia yatupilia mbali madai ya kupinga ushindi wa Rais Lungu
Sep 05, 2016 22:37Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetupilia mbali madai ya mrengo wa upinzani ya kupinga ushindi wa Rais Edgar Lungu kufuatia uchaguzi wa tarehe 11 mwezi uliopita.
-
Wanajeshi wanalinda doria Gabon kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi
Sep 02, 2016 11:24Wanajeshi wanalinda doria katika mji mkuu wa Gabon, Libreville baada ya siku mbili za machafuko baada ya wapinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais.
-
Wagabon wanaoishi Ufaransa waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi
Sep 02, 2016 03:37Raia wa Gabon wanaoishi nchini Ufaransa wameandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini kwao yaliyomrejesha tena madarakani Rais Ali Bongo.
-
Kuidhinishwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa Rais nchini Gabon
Sep 01, 2016 05:21Kamisheni ya Uchaguzi nchini Gabon imemtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 mwezi uliopita na hivyo ataiongoza nchi hiyo ya Kiafrika kwa kipindi kingine cha miaka saba.