-
Kuanza uchaguzi wa rais nchini Gabon
Aug 27, 2016 09:20Watu laki sita na elfu ishirini na nane waliotimiza masharti ya kupiga kura leo Jumamosi wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura huko Gabon kwa ajili ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo.
-
AU; Uchaguzi Somalia lazima ufanyike kama ilivyopangwa
Aug 18, 2016 09:47Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia amesiistiza juu ya azma ya umoja huo ya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa Rais na Bunge huko Somalia unafanyika kama ilivyoainishwa.
-
Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata
Aug 18, 2016 09:31Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa shakhsia na viongozi wa kwanza wa dunia kumpongeza Edgar Lungu kwa kushinda uchaguzi wa rais uliogubikwa na utata na ambao upinzani umeelekea mahakamani kupinga matokeo yake.
-
Wagombea kiti cha urais Gabon waungana
Aug 17, 2016 02:45Wagombea wa kiti cha urais nchini Gabon wanaoipinga serikali ya nchi hiyo wameamua kuungana ili kuibuka na ushindi katika uchaguzi ujao wa rais.
-
133 wakamatwa na polisi Zambia kwa kupinga ushindi wa Rais Lungu
Aug 16, 2016 10:51Polisi nchini Zambia imewatia mbaroni makumi ya wafuasi wa upinzani wanaopinga ushindi wa Rais Edgar Lungu katika uchaguzi wa rais uliofanyika Alkhamisi iliyopita.
-
Malalamiko ya wapinzani nchini Zambia kwa matokeo ya uchaguzi
Aug 16, 2016 08:21Viongozi wa chama cha upinzani nchini Zambia cha Muungano kwa Ajili ya Maendeleo ya Taifa (UPND) wamepinga matokeo ya uchaguzi wa Rais na wanasema kuwa, watawasilisha mashtaka katika Mahakama ya Katiba kupinga matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika Alkhamisi iliyopita.
-
Rais wa Zambia atangazwa mshindi katika uchaguzi wenye ulalamishi
Aug 15, 2016 11:49Rais Edgar Lungu wa Zambia leo ametangazwa mshindi rasmi wa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo kwa ushindi mdogo dhidi ya mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema, huku chama cha mgombea huyo wa upinzani kikikataa kuyatambua matokeo hayo na kiutuhumu tume ya uchaguzi kuwa imezitia mkono kura.
-
85% ya matokeo ya kura Zambia, Rais Lungu aongoza
Aug 15, 2016 03:33Rais Edgar Lungu wa Zambia angali anaongoza kwa kura chache dhidi ya mpinzani wake wa karibu, baada ya asilimia 85 ya kura za uchaguzi wa rais kuhesabiwa.
-
Matokeo ya awali, mchuano mkali katika uchaguzi wa rais Zambia
Aug 13, 2016 02:52Mchuano mkali umeshuhudiwa katika uchaguzi wa rais nchini Zambia, huku Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo na mshindani wake wa karibu Hakainde Hichilema wakipishana kwa mwanya mwembamba.
-
Kamisheni ya Uchaguzi Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa Rais
Aug 08, 2016 10:09Kamisheni ya Uchaguzi ya Somalia imetangaza kuwa, uchaguzi wa Rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Oktoba mwaka huu.