-
Rais asusia duru ya pili ya uchaguzi visiwani Sao Tome
Aug 08, 2016 03:28Rais Manuel Pinto da Costa wa visiwa vya Sao Tome and Principe amesusia duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika jana Jumapili na hivyo mpinzani wake wa karibu anatazamiwa kushinda kiti hicho kiwepesi.
-
Upinzani Zambia: Uchaguzi mkuu hautakuwa huru na wa haki
Aug 07, 2016 22:31Kinara wa upinzani nchini Zambia ameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa inatumia sheria kandamizi ili kuwawekea mbinyo wapinzani na kuzuia kampeni zao, na kusisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa Alkhamisi ijayo hautakuwa huru na wa haki.
-
Raia wa mashariki mwa Kongo watakiwa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi
Aug 06, 2016 23:11Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito raia wa mashariki mwa nchi hiyo kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi ujao.
-
Kukataa Mahakama ya Katiba ya Gabon takwa la kuzuiwa Rais Ali Bongo kugombea uchaguzi ujao
Jul 31, 2016 03:20Mahakama ya Katiba ya Gabon jana Ijumaa ilitangaza rasmi kukataa takwa la kuzuiwa Rais Ali Bongo kutetea kiti chake cha urais katika uchaguzi ujao.
-
25 wauawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini
Jul 28, 2016 11:00Watu wasiopungua 25 wameuawa katika machafuko ya kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.
-
Trump: Hillary Clinton ni mzizi wa matatizo ya kiusalama duniani
Jul 22, 2016 10:15Mgombea wa kiti cha rais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amesema aghalabu ya changamoto za kiusalama zinaoikabili dunia kwa sasa zilisababishwa na hasimu wake wa kisiasa Hillary Clinton, anayetaka kuwa rais kupitia chama cha Democrats.
-
Bunge la Ghana lakataa kubadilsha tarehe ya uchaguzi mkuu
Jul 22, 2016 10:11Bunge la Ghana limekataa kupasisha hoja ya kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu nchini humo unaotazamiwa kufanyika baadaye mwaka huu.
-
Kampeni za uchaguzi zasimamishwa Zambia kutokana na machafuko
Jul 11, 2016 02:54Machafuko ya kabla ya uchaguzi mkuu nchini Zambia yamesababisha kufutiliwa mbali kampeni za uchaguzi huo katika mji mkuu Lusaka na viunga vyake.
-
Mkuu wa upinzani DRC apuuza waranti ya kukamatwa dhidi yake
Jul 05, 2016 08:52Moise Katumbi, kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepuuzilia mbali waranti ya kukamatwa iliyotolewa dhidi yake na serikali ya nchi hiyo na kusema kuwa atarejea nchini karibuni hivi kwa ajili ya kuwania urais.
-
Hizbullah: Saudia inazuia kufanyika uchaguzi wa rais Lebanon
Jun 28, 2016 03:07Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kukwamisha mikakati ya kisiasa sambamba na kuzuia juhudi za kufanyika uchaguzi wa rais nchini Lebanon.