Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Rais wa Ivory Coast ataka haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 nchini humo

    Rais wa Ivory Coast ataka haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 nchini humo

    Feb 11, 2019 10:14

    Rais Alassane Ouattara wa Kodivaa amesema kuwa lazima haki itendeke kuhusu mauaji ya watu 3,000 yaliyotokea nchini humo mwaka 2010 baada ya rais wa wakati huo Laurent Gbagbo kung'ang'ania madaraka na kukataa kuheshimu kura za wananchi.

  • HRW: Jeshi la Burkina Faso limewaua watuhumiwa mbele ya familia zao

    HRW: Jeshi la Burkina Faso limewaua watuhumiwa mbele ya familia zao

    Feb 06, 2019 11:55

    Mashiriki ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yamelituhumu jeshi la serikali ya Burkina Faso kuwa limewaua kinyama watuhumiwa wa vitendo vya kigaidi tena mbele ya watu wa familia zao.

  • Kinara wa kambi ya upinzani Cameroon atiwa nguvuni

    Kinara wa kambi ya upinzani Cameroon atiwa nguvuni

    Jan 29, 2019 04:50

    Vyombo vya usalama vya Cameroon vimemtia nguvuni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani baada ya maandamano ya mwishoni mwa wiki iliyopita yaliyotawanywa na askari usalama kwa kutumia risasi za moto.

  • Nchi za Afrika kuanzisha mkakati wa kuendeleza ulinzi wa mtoto

    Nchi za Afrika kuanzisha mkakati wa kuendeleza ulinzi wa mtoto

    Jan 22, 2019 23:17

    Maofisa wanaohusika na ulinzi wa mtoto kutoka nchi na maeneo 27 watakutana nchini Namibia kwa mara ya kwanza kujadili mikakati ya sasa na ya baadaye ya kuanzisha ulinzi wa mtoto kwa ajili ya ofisi ya kikanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, ESAF.

  • Misri kuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)

    Misri kuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)

    Jan 08, 2019 10:30

    Shirikisho la Soka Afrika CAF limetangaza leo Jumanne kuwa Misri ndiyo itakuwa mwenyeji wa michuano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019, baada ya kuipokonya Cameroon uenyeji huo.

  • Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki

    Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki

    Jan 04, 2019 04:16

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Kenya ametoa wito wa kutayarishwa mazingira mazuri zaidi ya kupelekwa huduma za kiufundi na kihandisi za Iran katika nchi za mashariki mwa Afrika.

  • Msumbiji: Raia wa Tanzania na Afrika Kusini ndio wanaoongoza 'al-Shabaab'

    Msumbiji: Raia wa Tanzania na Afrika Kusini ndio wanaoongoza 'al-Shabaab'

    Jan 01, 2019 04:46

    Waendesha Mashitaka nchini Msumbiji wamewataja raia wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini kuwa miongoni mwa makamanda wa kundi la kigaidi la al-Shabaab ambalo hapo awali lililikuwa linajiita Ahlu Sunna Wal Jamaa, linalofanya hujuma za umwagaji damu katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi.

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Dec 21, 2018 23:19

    Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha masuala mbalimbali ikiwemo kesi ya Masheikh wa Zanzibar wanaoshikiliwa katika korokoro za Tanzania Bara kwa miaka mingi sasa. Harith Subeit na maelezo zaidi...

  • Nchi za Afrika zahitaji nafasi milioni 20 za ajira kwa mwaka

    Nchi za Afrika zahitaji nafasi milioni 20 za ajira kwa mwaka

    Dec 18, 2018 03:18

    Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF Bi. Christine Lagarde amesema nchi za Afrika za kusini mwa jangwa la Sahara zinapaswa kuongeza ajira milioni 20 kwa mwaka kutokana na ongezeko la kasi la idadi ya watu.

  • UNCTAD yahimiza biashara mtandaoni Afrika

    UNCTAD yahimiza biashara mtandaoni Afrika

    Dec 14, 2018 04:15

    Afrika haitofikia malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs iwapo haitokumbatia fursa ya kuwekeza katika biashara ya mtandaoni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS