-
Indhari juu ya kugeuka Afrika Kusini na kuwa nchi ya kimafia
May 22, 2017 22:50Sambamba na kuendelea mivutano na malalamiko nchini Afrika Kusini, Makamu wa Rais wa nchi hiyo ametahadharisha kuhusiana na hatari ya kubadilika nchi hiyo kuwa ya Kimafia.
-
Ramaphosa atahadharisha Afrika Kusini kugeuka nchi ya kimafia
May 22, 2017 02:49Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ametahadharisha juu ya nchi hiyo kugeuka na kuwa ya Kimafia.
-
Maandamano dhidi ya serikali nchini Afrika Kusini
May 16, 2017 22:03Kwa mara nyingine tena mvutano wa kisiasa umeigubika nchi ya Afrika Kusini kiasi kwamba, maelfu ya wapinzani wa serikali wameendelea kufanya maandamano katika siku za hivi karibuni wakitaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Makamu wa Rais Afrika Kusini asusia kula kuwaunga mkono Wapalestina waliogoma kula
May 15, 2017 09:40Makamu wa rais wa Afrika Kusini na mawaziri wengine nchini humo wamesusia chakula kama njia ya kuonyesha kufungamana kwao na Wapalestina waliogoma kula katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Afrika Kusini kusaini mikataba ya ujenzi wa vituo vya umeme wa nyuklia
May 13, 2017 09:10Afrika Kusini inatazamiwa kusaini mikataba mipya na yenye uwazi na nchi tano kuhusu ujenzi wa vituo vya kuzalisha umeme wa nyuklia.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wasusia kula kuwaunga mkono mateka wa Palestina
May 04, 2017 03:04Wanaharakati, wafungwa wa kisiasa na wananchi wengine wa Afrika Kusini wamesusia kula chakula kuonyesha uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina waliosusia kula tangu Aprili 17 wakiwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Maandamano makubwa ya kumtaka Rais Zuma ajiuzulu yafanyika Pretoria
Apr 27, 2017 23:11Wananchi wa Afrika Kusini wameendelea kufanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi wakitaka kujiuzulu Rais wa nchi Jacob Zuma.
-
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini ataka Rais Zuma achunguzwe
Apr 24, 2017 03:49Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema anaunga mkono kufanyika uchunguzi kuhusu madai ya ufisadi yanaoizunguka serikali ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Wanafunzi karibu 20 wafariki dunia katika ajali ya barabarani Afrika Kusini
Apr 22, 2017 01:40Dereva na watoto 19 wa shule wameaga dunia nchini Afrika Kusini wakati basi walilokuwa wakisafiria lilipogongana na lori na kulipuka kwa moto katika mkoa wa Mpumalanga.
-
Naibu wa Zuma amtaka asikilize matakwa ya waandamanaji
Apr 17, 2017 09:32Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema viongozi wanapaswa kuwasikiliza waandamanaji nchini humo ambao wanamtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu au aondolewe madarakani baada ya mabadiliko yake ya baraza la mawaziri kupelekea nchi hiyo kushushwa kiwango cha kiuchumi.