-
Algeria: Nchi za Kiarabu zimetumia dola bilioni 130 kuharibu Yemen, Libya na Syria
Nov 12, 2017 09:08Waziri Mkuu wa Algeria Ahmed Ouyahia amesema kuwa, baadhi ya nchi za Kiarabu zimetumia dola bilioni 130 kwa aajili ya kuangamiza na kuharibu nchi za Yemen, Libya na Syria.
-
Ouyahia: Jeshi linafanya njama za kuipindua serikali ya Algeria
Nov 04, 2017 11:23Waziri Mkuu wa Algeria ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea mapinduzi ya kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Makumi ya watu wenye silaha waangamizwa Algeria
Oct 10, 2017 04:41Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa nchi hiyo wameua magaidi 86 kwenye maeneo tofauti ya nchi hiyo katika kipindi cha miezi minane ya kwanza ya mwaka huu.
-
Algeria yataka kurejea Syria katika Jumuiya ya Kiarabu
Sep 24, 2017 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Syria ni wa kihistoria na kusisitiza kuwa Algeria inataka Syria irejee katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Wanazuoni wa Algeria wapinga kuondolewa "Bismillah" katika vitabu vya shule nchini humo
Sep 14, 2017 10:11Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Algeria imekosoa vikali hatua ya Wizara ya Elimu ya nchi hiyo ya kuondoa neno "Bismillahi Rahman Rahiim" katika vitabu vya mwaka mpya wa masomo nchini humo.
-
Washukiwa sita wa ugaidi watiwa mbaroni Algeria
Sep 10, 2017 22:49Maafisa wa kulinda usalama nchini Algeria wamewatia mbaroni watu sita wanaoshukiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Aliyefanya mashambulizi ya kigaidi Algeria atambuliwa
Sep 01, 2017 22:00Duru za usalama za Algeria zimetangaza habari ya kujulikana utambulisho wa mtu aliyefanya shambulio la kujiripua kwa bomu kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad
Aug 28, 2017 10:19Balozi wa Iraq nchini Algeria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwa nchi ya kwanza kuwasaidia wananchi wa Iraq katika wakati mgumu hasa wakati wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walipokaribia kuutwaa mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Maficho kadhaa ya magaidi yasambaratishwa nchini Algeria
Aug 26, 2017 22:10Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuangamizwa maficho kadhaa ya magaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Misri yazuia misaada ya kibinadamu ya Algeria kuingia Gaza
Aug 19, 2017 10:53Serikali ya Misri imezuia misafara ya misaada ya kibinadamu ya Algeria kuingizwa katika Ukanda wa Gaza.