-
Algeria yayataka madola ya kigeni yasiingilie masuala ya ndani ya Libya
Jan 28, 2017 04:08Algeria imetoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa Libya kupitia njia ya mazungumzo kwa kuyashirikisha makundi na pande zote bila ya uingiliaji wa madola ya kigeni.
-
Rais wa Algeria: Iran imepoteza kiongozi shujaa na mwana mwaminifu
Jan 10, 2017 00:16Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Iran kutokana na kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu hapa nchini, Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani.
-
Wafanyabiashara Algeria wafanya mgomo wa nchi nzima
Jan 04, 2017 12:36Wafanyabiashara nchini Algeria wameamua kufanya mgomo ikiwa ni hatua yao ya kulalamikia sheria mpya ya kodi.
-
Amnesty yaijia juu Algeria kwa kuwatimua wakimbizi wa Mali
Dec 19, 2016 00:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Algeria kuunda sheria itakayowapa wakimbizi haki ya kupewa hifadhi sambamba na kuchunguza hatua ya kufukuzwa nchini humo wakimbizi wa Mali mapema mwezi huu.
-
Wakimbizi waliofukuzwa Algeria waingia nchini Niger
Dec 10, 2016 10:26Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika waliofukuzwa nchini Algeria wameingia katika nchi jirani ya Niger.
-
Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah
Dec 09, 2016 23:16Mufti Mkuu wa Algeria ameukosoa vikali utawala wa Saudia Arabia kwa vitendo vyake vya kuwazuia Waislamu kutekekeleza ibada ya faradhi ya Hija na pia Umrah
-
Jeshi la Algeria: Hatutoshiriki katika jaribio lolote la mapinduzi
Nov 20, 2016 12:22Jeshi la Algeria limetupilia mbali takwa la baadhi ya asasi zinazolitaka kuingilia kati na kumuondoa madarakani Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kutokana na maradhi yanayomkabili kwa muda mrefu sasa.
-
Jeshi la Algeria laanzisha operesheni kali za kuwatambua magaidi
Sep 07, 2016 03:06Wizara ya Ulinzi nchini Algeria imetangaza habari ya kuanza operesheni za kijeshi kwa lengo la kuwatambua wanachama wa makundi ya kigaidi nchini.
-
Jeshi la Algeria laanzisha operesheni kali za kuwatambua magaidi
Sep 07, 2016 03:04Wizara ya Ulinzi nchini Algeria imetangaza habari ya kuanza operesheni za kijeshi kwa lengo la kuwatambua wanachama wa makundi ya kigaidi nchini.
-
Iran: Hatuna mipaka katika kuimarisha uhusiano wetu na Afrika
Sep 03, 2016 11:47Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano wake na bara la Afrika ikiwemo Algeria.