Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Hamas yaanza rasmi shughuli zake nchini Algeria

    Hamas yaanza rasmi shughuli zake nchini Algeria

    Aug 29, 2016 23:03

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuanza rasmi shughuli zake huko Algeria.

  • Basi lililowabeba mahujaji wa Algeria lawaka moto

    Basi lililowabeba mahujaji wa Algeria lawaka moto

    Aug 30, 2016 03:04

    Katika kuendelea na kukaririwa matukio yanayohusiana na ibada ya Hija huko Saudi Aarbia, basi moja lililokuwa limewabeba mahujaji wa Algeria wakitokea Madina na kuelekea mjini Makka limewaka moto.

  • Algeria yahimiza  kuachiwa huru raia wake wote walioko jela Guantanamo

    Algeria yahimiza kuachiwa huru raia wake wote walioko jela Guantanamo

    Aug 22, 2016 23:38

    Waziri wa Sheria wa Algeria amesisitiza juu ya udhaura wa kuachiwa huru raia wote wa nchi hiyo waliofungwa katika jela ya Guantanamo nchini Cuba.

  • Jeshi la la Algeria laua na kukamata magaidi 12

    Jeshi la la Algeria laua na kukamata magaidi 12

    Jun 19, 2016 10:11

    Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza habari ya kuuawa watu wanane wanaoaminika kuwa wanachama wa makundi ya kigaidi kusini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Algiers.

  • Ombi la Uganda kwa Algeria

    Ombi la Uganda kwa Algeria

    Jun 18, 2016 06:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda ameiomba Algeria iiunge mkono nchi hiyo katika kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utekelezaji ya Umoja wa Afrika.

  • Algeria yatangaza uungaji mkono wake kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya

    Algeria yatangaza uungaji mkono wake kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya

    Jun 13, 2016 10:12

    Serikali ya Algeria imetangaza rasmi kuwa iko pamoja na inaiunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya.

  • Waalgeria: ISIS ni genge lililoundwa na Marekani

    Waalgeria: ISIS ni genge lililoundwa na Marekani

    May 18, 2016 22:22

    Wananchi wengi wa Algeria wanaamini kuwa, genge la kigaidi la Daesh (ISIS) limeundwa na Marekani.

  • Iran na Algeria zasaini hati 19 za maelewano

    Iran na Algeria zasaini hati 19 za maelewano

    May 18, 2016 03:26

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Algeria zimesaini hati 19 za maelewano mwishoni mwa kikao cha pili cha kamati ya pamoja ya kutathmini ushirikiano wa kiviwanda baina ya nchi mbili.

  • Waalgeria watatu watiwa mbaroni kwa tuhuma za ugaidi

    Waalgeria watatu watiwa mbaroni kwa tuhuma za ugaidi

    May 07, 2016 11:38

    Jeshi la Algeria limewatia mbaroni raia watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za kuyasaidia makundi ya kigaidi nchini humo.

  • Wasiwasi kuhusu hali ya mambo nchini Algeria

    Wasiwasi kuhusu hali ya mambo nchini Algeria

    Apr 29, 2016 02:30

    Ali Benflis, Waziri Mkuu wa zamani wa Algeria alisema siku ya Jumatano kwamba hali ya kisiasa na kiuchumi ya nchi hiyo inatia wasiwasi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS