-
'Uingereza ndiyo iliyoidhinisha hukumu ya kifungo jela dhidi ya Sheikh Ali Salman'
Dec 13, 2016 16:39Muungano wa vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umefichua kuwa serikali ya Uingereza ndiyo iliyoidhinisha hukumu ya kifungo cha miaka tisa jela dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq Sheikh Ali Salman.
-
Mahakama ya Bahrain yapasisha kifungo cha miaka 9 dhidi ya Sheikh Ali Salman
Dec 12, 2016 13:52Mahakama ya Rufaa ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain imemhukumu kifungo cha miaka tisa jela Mkuu wa Taasisi kubwa zaidi ya kisiasa ya wapinzani nchi hiyo.
-
Wabahrain waandamana dhidi ya kesi ya Sh. Salman inayosikilizwa leo
Dec 12, 2016 07:50Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika barabara za nchi hiyo usiku wa kuamkia leo kuulani utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo, ambapo hii leo mahakama ya nchi hiyo inatazamiwa kusikiliza kesi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wifaq, iliyopigwa marufuku na utawala huo.
-
Wabahrain waandamana dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza
Dec 08, 2016 08:13Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano kueleza ghadhabu zao dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye yuko nchini humo kushiriki mkutano wa kila mwaka wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa nchini Bahrain
Dec 02, 2016 15:39Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa wiki ya 25 mfululizo, umewazuia Waislamu kusali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq AS magharibi mwa mji mkuu Manama.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana kulalamikia ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa
Nov 25, 2016 15:16Maelfu ya wananchi wa Bahrain wameandamana leo wakilalamikia ukandamizaji dhidi ya raia unaofanywa na utawala wa Aal khalifa.
-
Kuendelea ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini Bahrain na wasiwasi wa kimataifa
Nov 24, 2016 15:25Ripoti mbalimbali kutoka nchini Bahrain zinaonyesha kuwa, utawala wa kifalme wa nchi hiyo umeendelea kutumia mbinu na miamala yake ya kipolisi dhidi ya wanaharakti wa kisiasa huku ukiendelea kuwatia mbaroni na kuwahukumu vifungo vya muda mrefu jela wapinzani hao kwa kuwabambikiza tuhuma mbalimbali.
-
Wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa Bahrain waivunjia heshima Qur'ani Tukufu
Nov 18, 2016 14:23Wanajeshi wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, wamekivunjia heshima Kitabu cha Mwenyezi Mungu, kwa kukichanachana.
-
Kutolewa hukumu za vifungo vya jumla ya miaka 241 jela kwa wananchi wa Bahrain
Nov 16, 2016 12:40Utawala wa Bahrain katika kipindi cha wiki moja tu umewahukumu raia 18 wa nchi hiyo vifungo vya jumla ya miaka 241 jela.
-
Wabahrain waandamana kutaka kuachiwa huru mwanaharakati
Nov 15, 2016 07:54Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru mwanaharakati mashuhuri ambaye alikamatwa na vyombo vya usalama vya Aal-Khalifa mwezi uliopita.