-
Kamanda mwandamizi Iran aionya vikali Bahrain kwa kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim
Jun 21, 2016 03:02Kufuatia hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim, kamanda wa Kikosi cha Quds katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameuonya vikali utawala wa Aal Khalifa
-
Maulamaa wa Bahrain: Kuipiga marufuku Al-Wifaq ni kutangaza vita
Jun 16, 2016 11:00Maulamaa wa Bahrain wametangaza kuwa hatua ya utawala wa Aal Khalifa ya kuzifuta na kuzipiga marufuku jumuiya na asasi za upinzani, kufunga ofisi zao na kuwatia nguvuni watu ni sawa na "kutangaza vita".
-
Jamii ya kimataifa yaikosoa Bahrain kupiga marufuku al-Wefaq
Jun 15, 2016 02:45Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelaani hatua ya utawala wa Bahrain ya kukipiga marufuku chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq.
-
Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain akamatwa
Jun 13, 2016 03:20Katika kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain, wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamemtia mbaroni Nabil Rajab, mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini humo.
-
Bahrain imeweka rekodi ya kuwa na wafungwa wengi katika Mashariki ya Kati
Jun 11, 2016 23:59Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wafungwa kati ya nchi za Mashariki ya Kati kulingana na idadi ya raia wote wa nchi hiyo.
-
UN: Kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Salman ni ukandamizaji wa kisiasa
Jun 02, 2016 03:18Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza amelaani vikali uamuzi wa mahakama ya rufaa ya Bahrain wa kuidhinisha hukumu iliyotolewa dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Harakati ya Al-Wifaq na kuongeza adhabu hiyo ya kifungo hadi miaka tisa.
-
Radiamali ya Iran kufuatia kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Ali Salman
Jun 01, 2016 03:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua ya kumzidishia adhabu ya kifungo cha jela Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Kitaifa ya al Wifaq ya Bahrain.
-
Bahrain yasisitiza kuwanyonga wanaharakati 3 wa Kishia
Jun 01, 2016 02:32Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imekataa kutengua hukumu ya kunyongwa wanaharakati watatu wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Umoja wa Mataifa Wakosoa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Bahrain na Saudia
May 31, 2016 03:09Sambamba na kutangazwa hukumu ya kidhalimu dhidi ya wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na Saudi Arabia, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti na kuzituhumu tawala za nchi hizo mbili kuwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Wananchi waandamana Bahrain kumuungamkono Sheikh Ali Salman
May 27, 2016 23:20Raia wa Bahrain kwa mara nyingine tena jana (Ijumaa) walifanya maandamano kuonyesha mshikamano wao kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al Wifaq ya nchini humo, Sheikh Ali Salman.