-
Boko Haram watoa mkanda wa video wa wasichana waliowateka nyara Chibok
Aug 14, 2016 09:24Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wametoa mkanda mpya wa video unawaonyesha baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo katika mji wa Chibok Nigeria mwaka 2014.
-
Luteni Jenerali Buratai: Boko Haram wanakaribia kushindwa kikamilifu
Aug 10, 2016 09:37Kamanda Mkuu wa jeshi la Nigeria Tukur Yusuf Buratai amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram linakaribia kushindwa kikamilifu.
-
Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh
Aug 04, 2016 10:36Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la nchini Nigeria amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawaafiki kuteuliwa mjumbe yoyote kutoka kundi la Daesh kuwa kiongozi wao.
-
Kamanda wa kikosi cha kupambana na Boko Haram ataka wananchi watoe ushirikiano
Aug 03, 2016 23:56Kamanda wa kikosi cha mataifa kadhaa kinachoendesha operesheni za kijeshi dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram amewataka wakazi wa maeneo ya mipaka ya Nigeria, Niger, Chad na Cameroon kutoa ushirikiano kwa vikosi hivyo kwa ajili ya kupambana na wanamgambo hao.
-
UN yatoa wito wa kupambana na Boko Haram
Jul 29, 2016 12:08Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameitolea wito kwa jamii ya kimataifa kuunga mkono pakubwa mapambano dhidi ya kundi la Boko Haram.
-
UN: Sababu kuu za tishio la Boko Haram katika Bonde la Ziwa Chad zishughulikiwe
Jul 28, 2016 11:02Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, ili kukomesha tishio la Boko Haram katika kanda ya Bonde la Ziwa Chad kuna haja kwa nchi zote zinazoathiriwa na hujuma za kundi hilo kushughulikia sababu kuu zilizochangia kujitokeza kwa kundi hilo zikiwemo za masaibu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya jamii zilizotengwa katika eneo hilo.
-
Operesheni dhidi ya Boko Haram yakabiliwa na uhaba wa mafuta
Jul 24, 2016 23:49Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Nigeria amesema kuwa, uhaba wa mafuta ya ndege za kijeshi kwa sasa ndilo tatizo kuu linaloikabili operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Jeshi la Nigeria laapa kukomboa maeneo yanayoshikiliwa na B/Haram
Jul 23, 2016 12:20Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa litaendeleza mashambulizi yake hadi kukombolewa maeneo yote yanayodhibitiwa na kundi la Boko Haram huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kikao cha wakuu wa jeshi la Eneo la Ziwa Chad huko Niger
Jul 10, 2016 22:13Wakuu wa kijeshi wa nchi za Niger, Chad, Cameroon na Nigeria wamekutana na kufanya mazungumzo huko Diffa kusini mashariki mwa Niger katika fremu ya mapambano dhidi ya kundi la Boko Haram.
-
Magaidi 16 wa kundi la Boko Haram wauawa na jeshi la Nigeria
Jul 10, 2016 03:15Vyombo vya usalama vya Nigeria vimetangaza kuwa, magaidi 16 wa kundi la Boko Haram wameuawa na jeshi kaskazini mwa nchi hiyo.