-
Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram
Mar 09, 2016 23:12Jeshi la Afrika Kusini limekanusha habari kuwa litatatuma askari nchini Nigeria kupambana na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
-
Jeshi la Nigeria laendelea na oparesheni ya kuwaangamiza Boko Haram
Mar 07, 2016 12:48Jeshi la Nigeria limesema kuwa linaendelea na oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa Boko Haram katika maficho yao.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria
Feb 28, 2016 04:30Operesheni ya pamoja ya majeshi ya Nigeria na Cameroon imefanikiwa kuangamiza wanachama 100 wa kundi la kigaidi na kitafkiri la Boko Haram , kaskazini mashariki wa Nigeria.
-
Kuanza oparesheni ya kuwaaangamiza wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Feb 27, 2016 09:32Jeshi la Nigeria limesema kuwa tayari limeanza oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kali dhidi ya Boko Haram
Feb 26, 2016 04:18Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kali dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram, ambayo ina lengo la kuwasambaratisha wanachama wa kundi hilo.
-
Boko Haram yasababisha maelfu ya watoto wa Nigeria kuwa wakimbizi
Feb 23, 2016 04:51Zaidi ya watoto 6,500 wako katika hatari ya kupoteza maisha yao kutokana na baa la njaa linalowakabili, katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria.
-
Waislamu na Wakristo wa Cameroon kulinda misikiti na makanisa dhidi ya mashambulio ya Boko Haram
Feb 23, 2016 00:09Waislamu na Wakristo wa Cameroon wanaandaa mikakati ya kupambana na kundi la Boko Haram la nchini Nigeria.
-
Mashambulizi pacha ya bomu yaua 19 Cameroon
Feb 19, 2016 10:15Kwa akali watu 19 wameuawa katika mashambulizi pacha ya bomu yaliyolenga soko moja katika mji wa Meme, kaskazini mwa Cameroon.
-
Jeshi la Nigeria laharibu kambi za Boko Haram
Feb 17, 2016 11:40Jeshi la Nigeria limesema kuwa, limefanikiwa kuharibu kambi za wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika vijiji vya Doro na Kuda vya kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno.
-
Indhari kuhusiana na kuenea upenyaji wa Boko Haram barani Afrika
Feb 17, 2016 00:08Mratibu wa Kituo cha Taifa cha Upashaji Habari cha Nigeria ametahadharisha kuhusiana na hatari ya kuzidi kujitanua kundi la Boko Haram barani Afrika.