Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump atoa radiamali kufuatia kuaga dunia baba na binti yake wahajiri wa El Salvador

    Trump atoa radiamali kufuatia kuaga dunia baba na binti yake wahajiri wa El Salvador

    Jun 27, 2019 03:44

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa radiamali kufuatia kusambaa picha katika vyombo vya habari zinazomuonyesha baba na binti yake wa mwaka mmoja, ambao ni wahajiri wa El Salvador na waliofariki dunia kwa kuzama maji wakijaribu kuingia Marekani ambapo amewatwisha mzigo wa lawama wanachama wa Democrat na tukio hilo la maafa.

  • Amir Abdollahian: Njia pekee ya kuokoka Trump ni kubadilika mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu wa Iran

    Amir Abdollahian: Njia pekee ya kuokoka Trump ni kubadilika mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu wa Iran

    Jun 27, 2019 08:15

    Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kuokoka rais wa Marekani, Donald Trump ni kubadilisha mienendo yake mbele ya mantiki madhubuti ya Kiongozi Muadhamu na taifa kubwa la Iran.

  • Carter: Vita vyote vya Marekani havijakuwa na manufaa

    Carter: Vita vyote vya Marekani havijakuwa na manufaa

    Jun 25, 2019 22:22

    Rais wa zamani wa Marekani amekiri kuwa vita vyote vilivyoendeshwa na Marekani hadi kufiki sasa havijakuwa na udharura wala manufaa.

  • Trump atishia kumfuta kazi afisa wa ngazi ya juu zaidi wa benki Marekani

    Trump atishia kumfuta kazi afisa wa ngazi ya juu zaidi wa benki Marekani

    Jun 25, 2019 08:11

    Rais wa Marekani ametishia kumfukuza Gavana wa Benki kuu ya nchi hiyo. Trump amesema licha ya kuwa ana uwezo wa kumfuta kazi Jerome Powell lakini hana nia ya kufanya hivyo kwa sasa.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; hatua ya kukata tamaa watawala wa Washington

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; hatua ya kukata tamaa watawala wa Washington

    Jun 25, 2019 07:39

    Baada ya Rais Trump wa Marekani kuchukua hatua ya kuiondoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, serikali yake ilianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya taifa la Iran.

  • Sheikh Isa Qassim: Trump anataka kuiuza Palestina na matukufu yake

    Sheikh Isa Qassim: Trump anataka kuiuza Palestina na matukufu yake

    Jun 25, 2019 02:25

    Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim sambamba na kulaani hatua ya utawala wa Manama kuwa mwenyeji wa Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kuanza leo nchini humo kwa shabaha ya kuzindua mpango wa 'Muamala wa Karne' amesema mpango huo wa Rais Donald Trump wa Marekani unakusudia kuwapokonya Wapalestina haki zao zote na kuuza kila kitu kinachomilikiwa nao yakiwemo maeneo matakatifu.

  • Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Jun 24, 2019 03:34

    Utawala wa Marekani unaendelea kuchanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran na hali hiyo ilifikia kilele chake baada ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani kutunguliwa na vikosi vya kijeshi vya Iran Alhamisi iliyopita.

  • Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran

    Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran

    Jun 23, 2019 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.

  • Meya wa London amkejeli Trump, asema ni mtoto wa futi sita

    Meya wa London amkejeli Trump, asema ni mtoto wa futi sita

    Jun 23, 2019 08:31

    Meya wa jiji la London nchini Uingereza amerudisha mapigo ya mashambulizi ya maneno na bwabwaja za Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaja kuwa ni mtoto mdogo mwenye futi 6.

  • Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990

    Mwandishi wa habari asema Trump alimbaka miaka ya 1990

    Jun 22, 2019 08:42

    Rais Donald Trump wa Marekani anaandamwa na kashfa nyingine ya ufuska baada ya mwanadishi wa habari kwa jina E. Jean Carroll, kufichua kuwa kiongozi huyo wa Marekani wakati huo akiwa mjasiriamali alimbaka katikati ya miaka 90.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS