-
UN: Zaidi ya Wanafunzi 100,000 Wamerejea Shuleni Ukanda wa Gaza
Mar 01, 2025 03:49Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa zaidi ya wanafunzi 100,000 wamejiandikisha mashuleni katika Ukanda wa Gaza baada ya mwaka mpya wa masomo kuanza Februari 23, na kuashiria kurudi mashuleni wanafunzi baada ya muda mrefu wa kusimamishwa masomo kutokana na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kiziayuni wa Israel dhidi ya watu wa eneo hilo la Palestina.
-
Nchi 35 duniani zinatumia dawa za kibioteknolojia za Iran
Feb 06, 2025 02:34Katibu wa Jumuiya ya Watengenezaji na Wasafirishaji wa Bidhaa za Dawa za Sekta ya Bioteknolojia ya Iran ametangaza bidhaa hizo zinauzwa katika nchi 35.
-
AU: Afrika ina uhaba wa walimu milioni 15
Jul 20, 2024 06:14Bara la Afrika linakabiliwa na upungufu wa walimu zaidi ya milioni 15. Hayo yamesemwa na Mohammed Belhocine, Kamishna wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Umoja wa Afrika katika kikao na waandishi wa habari pambizoni mwa Kikao cha 45 cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya AU, mjini Accra, Ghana.
-
UNICEF yatoa mwito wa uwekezaji wa elimu kwa watoto Afrika
Jun 14, 2024 12:37Siku ya Mtoto wa Afrika inaadhimishwa kesho Jumapili. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema kuwa, uwekezaji mkubwa katika elimu ya msingi kwa watoto wa Afrika unahitajika ili kulisaidia bara hilo kutimiza ajenda yake ya muda mrefu ya ustawi na mabadiliko.
-
Iran ni mwenyeji wa wanafunzi zaidi ya laki saba wa kigeni
Dec 30, 2022 02:34Kuna wanafunzi zaidi ya laki saba (700,000) wa kigeni katika shule, taasisi za kielimu na Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni
Jul 11, 2022 11:01Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.
-
Rais Museveni asema shule zitafunguliwa Uganda mwezi huu
Jan 01, 2022 12:38Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa, shule za nchi hiyo ambazo zilikuwa zimefungwa tokea Machi 2020 kutokana na msambao wa maradhi ya Covid-19, sasa zitafunguliwa mwezi huu wa Januari, 2022.
-
UN yataka shule zilizofungwa kwa ajili ya Corona zifunguliwe
Jul 28, 2021 01:30Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufunguliwa haraka iwezekanavyo skuli ambazo zilikuwa zimefungwa katika maeneo mbalimbali duniani kutokana na makali ya janga la Corona.
-
Shule za Iran kufunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi 3
May 12, 2020 14:50Waziri wa Elimu wa Iran ametangaza kuwa, shule zote za humu nchini zitafunguliwa Mei 16, baada ya kufungwa kwa karibu miezi mitatu tokea mwishoni mwa Februari mwaka huu kutokana na mripuko wa virusi vya corona.
-
Corona yawakatizia masomo watoto milioni 127 mashariki na kusini mwa Afrika
May 05, 2020 08:06Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema janga la corona limewakatizia masomo mamilioni ya watoto katika maeneo ya mashariki na kusini mwa Afrika.