-
Ethiopia yakataa upatanishi wa Benki ya Dunia katika mgogoro wake na Misri
Jan 23, 2018 02:29Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa pendekezo la Misri la kuitaka Benki ya Dunia kuwa mpatanishi katika mgogoro wa ujenzi wa bwawa unaofanywa na serikali ya Addis Ababa juu ya Mto Nile.
-
Waasi 148 wajisalimisha kwa serikali nchini Ethiopia
Jan 22, 2018 04:38Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kujisalimisha waasi 148 kwa vikosi vya usalama vya nchi hiyo.
-
Mabalozi wa Afrika UN wapendekeza Trump akutane na viongozi wa Afrika Ethiopia
Jan 19, 2018 07:24Mabalozi wanaowakilisha nchi za Afrika katika Umoja wa Mataifa wamependekeza Rais Donald Trump wa Marekani akutane na viongozi wa nchi za Afrika nchini Ethiopia mwezi huu kufuatia kauli chafu aliyotoa kwamba wahamiaji wanaoingia nchini Marekani kutoka Afrika na Haiti wanatoka kwenye nchi za "shimo la kinyesi".
-
Ethiopia yamuachia huru kinara wa upinzani, wafungwa 115
Jan 17, 2018 15:07Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Ethiopia ambaye alikuwa gerezani ameachiwa huru, ikiwa ni jitihada za serikali za kutekeleza ahadi yake ya kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa.
-
Ethiopia yafuta mashtaka dhidi yawafungwa wa kisiasa
Jan 16, 2018 07:26Mwanasheria Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa serikali ya nchi hiyo imefuta mashtaka dhidi ya mmoja wa viongozi wa kambi ya upinzani na wapinzani wengine 528 wanaoshikiliwa katika magereza ya nchi hiyo.
-
Libya yawatia mbaroni wahajiri 81 kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea
Jan 12, 2018 13:45Vyombo vya usalama mashariki mwa Libya vimewakamata makumi ya wahajiri raia wa Somalia, Eritrea na Ethiopia, ambao walikwepa mtego wa magendo ya binadamu.
-
Ethiopia yakamata watu 107 waliohusika na ghasia
Jan 05, 2018 14:39Serikali ya Ethiopia imewatia mbaroni watu 107 kwa tuhuma za kuhusika na vurugu zilizotokea hivi karibuni kwenye eneo la mpaka wa mikoa ya Somali na Oromia.
-
Ethiopia kuwaachia huru wafungwa wote wa kisiasa
Jan 03, 2018 15:12Katika hatua ya kushtukiza, Waziri Mkuu wa Ethiopia ametangaza mpango wa serikali wa kufuta mashitaka dhidi ya wafungwa wote wa kisiasa sambamba na kufunga jela ya kuogofya ambako wafungwa hao walikuwa wanazuiliwa.
-
Ethiopia yailaumu Saudia kwa kuwanyanyasa na kuwaadhibu Waethiopia waliofukuzwa nchini humo
Dec 28, 2017 16:24Serikali ya Ethiopia imeulaumu utawala wa Saudi Arabia kwa sababu ya vitendo vya unyanyasaji na vya kuwaadhibu maelfu ya raia wa Ethiopia waliofukuzwa nchini Saudia.
-
Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia
Dec 18, 2017 07:38Kwa akali watu 61 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila katika eneo la Oromiya nchini Ethiopia.