-
Kiongozi wa upinzani Ethiopia: Pande zote zinahitaji mgawo zaidi katika mustakbali wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 10:46Kiongozi wa upinzani nchini Ethiopia amesema leo kuwa muungano tawala nchini humo umepoteza mamlaka yake na kwamba vyama vyote nchini humo vinapasa kushirikishwa katika kuainisha mustakbali wa nchi hiyo. Kiongozi huyo wa upinzani ameyasema hayo ikiwa imepita siku moja baada ya kujiuzulu Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hailemariam Desalegn.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu wa Ethiopia
Feb 16, 2018 09:41Hailemariam Desalegn, Waziri Mkuu wa Ethiopia amejiuzulu kufuatia malalamiko na maandamano ya mara kwa mara ya watu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia ajiuzulu baada ya machafuko ya ndani
Feb 15, 2018 12:46Waziri Mkuu wa Ethiopia amejiuzulu nyadhifa zake zote mbili kama waziri mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala.
-
UN: Wahajiri 22 wa Ethiopia watoweka baada ya kuzamishwa baharini
Feb 09, 2018 22:06Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri 22 raia wa Ethiopia wanahofiwa kufa maji baada ya kutupwa baharini, katika pwani ya Yemen.
-
Ethiopia yaendelea kuwaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa
Feb 09, 2018 10:48Mwanasheria Mkuu wa Ethiopia ametoa agizo la kuachiwa huru mamia ya wafungwa wa kisiasa, akiwemo mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo.
-
Mapigano Ethiopia yapelekea milioni moja kuwa wakimbizi
Feb 06, 2018 11:36Mapigano baina ya makabila mawili makubwa Ethiopia yamepelekea watu zaidi ya milioni moja kukimbia makao yao.
-
Ethiopia yawaachia huru wafungwa wengine zaidi ya elfu 2 wa kisiasa
Jan 27, 2018 04:11Serikali ya Ethiopia imeendeleza wimbi la kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa, mara hii ikiwaondoa gerezani maelfu ya wafungwa waliotuhumiwa kuhusika na machafuko yaliyolikumba eneo la Oromiya kati ya 2015 na 2016.
-
Upinzani Ethiopia wataka kufanyika mazungumzo ya kitaifa
Jan 24, 2018 23:30Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Ethiopia ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa kuhusu mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo.
-
Ethiopia yakataa upatanishi wa Benki ya Dunia katika mgogoro wake na Misri
Jan 22, 2018 22:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa pendekezo la Misri la kuitaka Benki ya Dunia kuwa mpatanishi katika mgogoro wa ujenzi wa bwawa unaofanywa na serikali ya Addis Ababa juu ya Mto Nile.
-
Waasi 148 wajisalimisha kwa serikali nchini Ethiopia
Jan 22, 2018 01:08Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kujisalimisha waasi 148 kwa vikosi vya usalama vya nchi hiyo.