-
Ethiopia yailaumu Saudia kwa kuwanyanyasa na kuwaadhibu Waethiopia waliofukuzwa nchini humo
Dec 28, 2017 16:24Serikali ya Ethiopia imeulaumu utawala wa Saudi Arabia kwa sababu ya vitendo vya unyanyasaji na vya kuwaadhibu maelfu ya raia wa Ethiopia waliofukuzwa nchini Saudia.
-
Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia
Dec 18, 2017 07:38Kwa akali watu 61 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila katika eneo la Oromiya nchini Ethiopia.
-
Ethiopia yatuma maelfu ya askari Somali kukabiliana na magaidi wa Al Shabab
Nov 03, 2017 14:27Ethiopia imetuma maelfu ya askari katika nchi jirani ya Somalia kusaidia katika jitihada za kieneo za kupambana na kundi la magaidi wakufurishaji wa Al Shabab ambao wamekuwa wakitekeleza hujuma nchini humo na katika nchi jirani.
-
Mamia ya watu watiwa mbaroni kwa kuhusika na machafuko nchini Ethiopia
Oct 29, 2017 15:52Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kutiwa mbaroni mamia ya watu kwa kuhusika na machafuko yaliyotokea kwenye eneo la Oromia la kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Polisi ya Ethiopia yaua watu 5 katika eneo la Oromiya
Oct 27, 2017 04:10Watu wasiopungua 5 wameuawa baada ya polisi ya Ethiopia kuwafyatulia risasi waandamanaji katika mji mmoja wa eneo lenye ghasia na machafuko ya mara kwa mara la Oromiya.
-
Ethiopia kuendelea kushirikiana na Somalia katika vita dhidi ya al-Shabaab
Oct 25, 2017 04:03Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amesema nchi yake itaendelea kushirikiana na Somalia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Spika wa Bunge Ethiopia ajiuzulu, apinga sera za serikali dhidi ya Oromo
Oct 09, 2017 03:47Spika wa Bunge la Ethiopia amejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni kuonesha malalamiko yake dhidi ya hatua zilizochukuliwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya watu wa kabila la Oromo.
-
Maelfu waandamana Ethiopia katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu
Oct 02, 2017 14:28Maelfu ya raia wa Ethiopia wameandamana katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu na kupiga nara kuilaani serikali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn.
-
Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia
Sep 26, 2017 07:59Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu 50 wauawa, 50,000 wakimbia mapigano mashariki mwa Ethiopia
Sep 19, 2017 02:38Watu zaidi ya 50 wameuawa katika mapigano ya wiki moja katika maeneo la Oromiya na Somali nchini Ethiopia huku wengine 50,000 wakilazimika kukimbia makazi yao.