-
Polisi ya Ethiopia yaua watu 5 katika eneo la Oromiya
Oct 27, 2017 00:40Watu wasiopungua 5 wameuawa baada ya polisi ya Ethiopia kuwafyatulia risasi waandamanaji katika mji mmoja wa eneo lenye ghasia na machafuko ya mara kwa mara la Oromiya.
-
Ethiopia kuendelea kushirikiana na Somalia katika vita dhidi ya al-Shabaab
Oct 25, 2017 00:33Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn amesema nchi yake itaendelea kushirikiana na Somalia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Spika wa Bunge Ethiopia ajiuzulu, apinga sera za serikali dhidi ya Oromo
Oct 09, 2017 00:17Spika wa Bunge la Ethiopia amejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni kuonesha malalamiko yake dhidi ya hatua zilizochukuliwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya watu wa kabila la Oromo.
-
Maelfu waandamana Ethiopia katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu
Oct 02, 2017 10:58Maelfu ya raia wa Ethiopia wameandamana katika kumbukumbu ya mauaji ya Bishoftu na kupiga nara kuilaani serikali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Hailemariam Desalegn.
-
Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia
Sep 26, 2017 04:29Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu 50 wauawa, 50,000 wakimbia mapigano mashariki mwa Ethiopia
Sep 18, 2017 22:08Watu zaidi ya 50 wameuawa katika mapigano ya wiki moja katika maeneo la Oromiya na Somali nchini Ethiopia huku wengine 50,000 wakilazimika kukimbia makazi yao.
-
UN: Ethiopia inakabiliwa na Janga la njaa linaloweza kuongezeka
Sep 05, 2017 23:12Uwekezaji wa kina unahitajika ili wakazi wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame uliokithiri katika jimbo la Somali nchini Ethiopia waweze kustahimili ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi.
-
Mapigano makali yaikumba Sudan Kusini karibu na mpaka na Ethiopia
Aug 11, 2017 11:44Mapigano makali yameripotiwa kujiri leo katika mji wa Pagak nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia wakati waasi walipoanzisha mashambulizi dhidi ya askari jeshi wa serikali.
-
Bunge la Ethiopia laondoa sheria ya hali ya hatari iliyokuwa ikitekelezwa nchini humo
Aug 04, 2017 10:30Bunge la Ethiopia leo limeondoa sheria ya hali ya hatari iliyokuwa ikitekelezwa kwa miezi kadhaa sasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Saudia yawafukuza maelfu ya vibarua Waethoipia kutokana na matatizo ya kiuchumi
Aug 02, 2017 09:51Utawala wa Aal Saud umewafukuza maelfu ya wafanyakazi za vibarua raia wa Ethiopia kutokana na matatizo ya kifedha yanayoikabili nchi hiyo.