-
Hizbullah: Mpango wa Trump wa Gaza unalenga 'kuisafisha' Israel
Oct 06, 2025 02:37Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem amekosoa mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu Gaza, na kuutaja kuwa ni hatua hatari ya kuisafisha Israel kutokana na jinai zake na sehemu ya ajenda ya kujitanua utawala huo ghasibu.
-
Ghalibaf: Hizbullah ipo hai na inaendelea na harakati zake
Oct 04, 2025 07:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesisitiza kuwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ingali "hai na inafanya kazi zake kama kawaida", huku ikiungwa mkono na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Walebanon waandamana Beirut wakipinga kupokoywa silaha Hizbullah
Sep 06, 2025 11:34Wafuasi wa Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Lebanon za Hizbullah na makundi mengine ya Muqawama ya nchi hiyo wamefanya maandamano makubwa usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Beirut, wakipinga vikali pendekezo la baraza la mawaziri linaloungwa mkono na Marekani na Israel la kuwapokonya silaha wanamuqawama.
-
Hizbullah na Amal zatoa wito wa maandamano makubwa ya kupinga kupokonywa silaha makundi ya muqawama
Aug 26, 2025 02:54Harakati za muqawama za Hizbullah na Amal za Lebanon zimetoa wito kwa wafuasi wao kujitokeza kwa wingi katika mitaa ya Beirut mji mkuu wa nchi hiyo ili kupinga maamuzi ya hivi karibuni ya baraza la mawaziri ya kuyapokonya silaha makundi ya Muqawama.
-
Zakzaky: Mipango ya kuwafukuza Wapalestina Gaza, kuipokonya silaha Hizbullah itafeli
Aug 19, 2025 10:44Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Yaqoub Zakzaky amebainisha kuwa, mipango ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza katika ardhi yao na kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwa kutumia serikali ya Beirut itagonga mwamba.
-
Hizbullah: Wavamizi wa Quds hawatakuwa na nafasi kusini mwa Lebanon
Jul 02, 2025 02:11Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa na nafasi katika ardhi za kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah: Trump amenasa kwenye minyororo ya Israel, anapasa kujikomboa
May 26, 2025 02:50Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapasa kujikomboa kutoka katika "mikono ya Israel ikiwa anataka kufikia malengo yake."
-
Serikali ya Jordan yaipiga marufuku harakati kongwe ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin
Apr 24, 2025 04:14Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jordan ametangaza kuwa utawala huo wa kifalme umeipiga marufuku harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin na kuielezea "itikadi" yake inayohubiri kuwa sasa ni 'haramu' kisheria nchini humo.
-
Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina
Mar 30, 2025 07:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kuondokana na uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.
-
Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah
Feb 23, 2025 03:47Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.