-
Sababu Gani Zinaifanya UAE Ishupalie Vita Dhidi ya Iran?
May 06, 2026 11:21Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE au Imarati umechukua msimamo wa waziwazi wa kushupalia vita hususan dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sudan yazituhumu Imarati na Ethiopia kushambulia uwanja wa ndege wa Khartoum
May 05, 2026 11:41Sudan leo Jumanne imrudisha nyumbani balozi wake nchini Ethiopia kwa mashauriano na kuzituhutumu Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa zimehusika na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) katika uwanja wa ndege wa Khartoum.
-
Kwa Nini Marekani Inaonekana si Mshirika wa Kuaminika kwa Nchi za Kiarabu?
Apr 24, 2026 05:51Vita vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimekuwa na matokeo muhimu katika eneo la Asia Magharibi na hasa Ghuba ya Uajemi. Moja ya matokeo muhimu ya vita hivyo ni kuthibitika kwamba Marekani si mshirika wa kutegemewa na nchi za Kiarabu za eneo hilo.
-
Wanajeshi 40 wa US wauawa Dubai katika shambulizi la kulipiza kisasi la IRGC
Mar 03, 2026 09:17Makumi ya wanajeshi wa Marekani wameuawa katika shambulizi la kulipiza kisasi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) dhidi ya kambi ya kijeshi ya Marekani jijini Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
Imarati inapanga kuijengea Israel kambi ya jeshi karibu na Saudi Arabia
Jan 07, 2026 06:43Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimefichua mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kujenga kambi ya kijeshi ya Israel karibu na mpaka wa nchi hizi mbili za Kiarabu.
-
UAE, mnunuzi wa siri katika mkataba mkubwa wa silaha na Israel
Dec 19, 2025 23:04Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetambuliwa kama mnunuzi 'asiyejulikana' kwenye mkataba wa dola bilioni 2.3 uliosainiwa mwezi uliopita na kampuni za kuzalisha silaha ya Israel ya Elbit Systems, ripoti inasema.
-
Iran, Imarati zasisitiza haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja
Jun 07, 2025 03:30Rais Masoud Pezeshkian wa Iran na Kiongozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan wametoa wito wa umoja wa Waislamu.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 08:35Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
UAE imeweka mtambo wa rada wa Israel Puntland kwa ajili ya kutungua makombora ya Yemen
Apr 16, 2025 08:01Duru za habari zimeripoti kuwa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati imeweka mtambo wa rada wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Puntland, Somalia ili kuyanasa na kuyatungua makombora yanayorushwa na Yemen.
-
Sudan yaiambia ICJ kuwa UAE inachochea mauaji ya halaiki Darfur
Apr 10, 2025 22:36Sudan iliiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana Alhamisi kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu umekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuunga mkono vikosi vya wanamgambo huko Darfur, na kuwataka majaji wa mahakama hiyo kutoa amri ya dharura ya kuzuia mauaji ya kimbari katika eneo hilo.