-
Kona zote za Imarati ziko katika shabaha ya silaha za wanamuqawama wa Yemen
Aug 29, 2018 00:06Msemaji wa jeshi la Yemen alisema Jumatatu usiku baada ya ndege isiyo na rubani ya jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen kufanya shambulizi katika uwanja wa ndege wa Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu, kwamba hivi sasa kila kona ya nchi hiyo ya kifalme iko katika shabaha ya silaha za wanajeshi wa Yemen na inaweza kushambuliwa wakati wowote ule.
-
Uungaji mkono wa silaha wa Imarati kwa magaidi nchini Libya
Aug 27, 2018 00:01Tovuti ya habari ya Tunisia Online Today imeripoti kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) inawapatia silaha magaidi huko Libya.
-
Amnesty International: Imarati inahusika na jinai zinazojiri Yemen
Aug 17, 2018 03:38Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) inahusika na kuteswa na kupotea watu katika maeneo mbalimbali huko Yemen.
-
Mtawala wa Dubai awashambulia viongozi wa nchi za Kiarabu
Aug 05, 2018 10:57Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) amesema kuwa wanasiasa wa ulimwengu wa Kiarabu wamefeli katika kuziongoza nchi zao na kusisitiza kuwa, mgogoro uliopo hivi sasa katika nchi za Kiarabu unatokana na uongozi mbaya.
-
Afrika Kusini inaendelea kuziuzia Saudia, Imarati silaha zinazoua Wayemen
Jul 27, 2018 03:21Ripoti ya kila mwaka ya Kamati ya Kitaifa ya Kudhibiti Silaha nchini Afrika Kusini (NCACC) inaonesha kuwa, Saudi Arabia na Imarati zinaendelea kurundika silaha zinazonunua kutoka nchi hiyo ya Kiafrika, na ambazo zinatumika mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Ripoti: Askari vamizi wa Imarati wanawateka na kuwabaka wanawake wa Yemen
Jul 17, 2018 12:08Uchunguzi uliofanywa unaonyesha kwamba, vitendo vya kutekwa nyara wasichana wa Yemen na kubakwa katika maeneo yanayodhibitiwa na askari vibaraka na vamizi wanaoungwa mkono na kufadhiliwa na serikali ya Imarati, vimeongezeka zaidi.
-
Ethiopia: Imarati, Marekani hazikuwa na nafasi katika makubaliano ya amani na Eritrea
Jul 13, 2018 11:19Ethiopia imekanusha madai kwamba Imarati imekuwa na nafasi katika makubaliano ya amani iliyofikia na nchi jirani ya Eritrea.
-
EU yaishambulia Imarati kwa kuvuruga uthabiti Somalia
Jul 06, 2018 08:57Bunge la Umoja wa Ulaya limezikosoa vikali Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia kwa kuikatia Somalia misaada kutokana na nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kutangaza msimamo wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro kati ya nchi nne za Kiarabu zikiongozwa na Saudia kwa upande mmoja na Qatar kwa upande wa pili.
-
Ansarullah: Madai ya Imarati ya kusimamisha hujuma zake Hudaydah ni urongo
Jul 02, 2018 02:30Harakati ya Ansarullah ya Yemen imekadhibisha madai yaliyotolewa na Umoja wa Falme za Kiarabu kwamba eti imesitisha oparesheni ya kutaka kukalia kwa mabavu mji wa bandari wa al-Hudaydah nchini Yemen.
-
UAE yadai kuwa imesitisha oparesheni ya hujuma ya kijeshi Al Hudaydah, Yemen
Jul 01, 2018 09:22Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, ambayo ni moja ya nchi katika muungano vamizi unaoongozwa na Saudia Arabia, baada ya kupita mwezi mmoja tokea ianze oparesheni ya kutaka kukalia kwa mabavu mji wa Al Hudaydah wa Yemen na hatimaye kufeli njama hiyo, sasa imetangaza kuwa eti imesitisha oparesheni hiyo kwa kisingizio cha kutoa fursa ya kufanyika mazungumzo ya kisiasa.