Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zaidi ya wageni 300 kushiriki hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran

    Zaidi ya wageni 300 kushiriki hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran

    Jul 27, 2024 23:46

    Zaidi ya wageni 300 watahudhuria hafla ya kuapishwa rais mteule wa Iran Dakta Masoud Pezeshkian.

  • Hatua mpya ya Ujerumani dhidi ya Uislamu, kupigwa marufuku kazi za kituo cha Kiislamu

    Hatua mpya ya Ujerumani dhidi ya Uislamu, kupigwa marufuku kazi za kituo cha Kiislamu

    Jul 26, 2024 07:04

    Serikali ya Ujerumani imepiga marufuku shughuli za kituo cha Kiislamu cha Hamburg na taasisi tanzu za kituo hicho licha ya umuhimu wake mkubwa kwa Waislamu.

  • Iran itarusha satelaiti zaidi katika anga za mbali hivi karibuni

    Iran itarusha satelaiti zaidi katika anga za mbali hivi karibuni

    Jul 25, 2024 00:53

    Mkuu wa Wakala wa Anga za Mbali nchini Iran Hassan Salarieh ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itarusha angalau satelaiti 6 katika anga za mbali kabla ya mwisho wa mwaka huu wa Kiirani.

  • Katika barua kwa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vijana wa Ubelgiji: Tumefurahishwa sana na ujumbe wako

    Katika barua kwa kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vijana wa Ubelgiji: Tumefurahishwa sana na ujumbe wako

    Jul 24, 2024 00:05

    Katika barua yao kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, idadi kubwa ya vijana wa Ubelgiji wamemshukuru Ayatullah Ali Khamenei kwa barua yake ya hivi karibuni ya kuunga mkono maandamano ya kuonyesha mshikamano na watu wa Gaza katika vyuo vikuu vya Marekani na Ulaya na kutangaza kwamba, wameathiriwa sana na ujumbe na wito wake.

  • Iran iko tayari kushirikiana katika mapambano dhidi ya magendo ya madawa ya kulevya

    Iran iko tayari kushirikiana katika mapambano dhidi ya magendo ya madawa ya kulevya

    Jul 23, 2024 23:07

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema katika kikao cha Mkutano wa Pili wa Kikanda wa Kupambana na Madawa ya Kulevya huko Baghdad kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kikamilifu kushirikiana na taasisi na mifumo ya kikanda na kimataifa kuendesha vita dhidi ya mihadarati.

  • Iran: Kusimama imara watu wa Yemen ni fakhari kwa Umma wa Kiislamu

    Iran: Kusimama imara watu wa Yemen ni fakhari kwa Umma wa Kiislamu

    Jul 23, 2024 03:50

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kusimama imara uongozi, wapiganaji wanajihadi na wananchi wanamuqawama wa Yemen na kuwa bega kwa bega na watu madhulumu wa Palestina katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni hatua ya kihistoria na ya kujivunia kwa Umma wa Kiislamu.

  • Rais Assad atilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano wa kimkakati kati ya nchi yake na Iran

    Rais Assad atilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano wa kimkakati kati ya nchi yake na Iran

    Jul 23, 2024 03:48

    Rais wa Syria Bashar Assad ametilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano na kuimarishwa ushirikiano na uratibu baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali.

  • IRGC yanasa meli ya 'Togo' ikifanya magendo ya mafuta Ghuba ya Uajemi

    IRGC yanasa meli ya 'Togo' ikifanya magendo ya mafuta Ghuba ya Uajemi

    Jul 22, 2024 23:27

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limefanikiwa kutwaa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta mengi katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

  • Pezeshkian: Wanaoiwekea vikwazo Iran waliwapa maadui silaha za kemikali

    Pezeshkian: Wanaoiwekea vikwazo Iran waliwapa maadui silaha za kemikali

    Jul 22, 2024 07:58

    Rais mteule wa Iran ameyakosoa vikali madola ambayo yameiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu akisisitiza kuwa, mataifa hayo yana historia nyeusi kwa kupeana silaha zilizotumiwa dhidi ya taifa hili katika miaka ya 1980.

  • Kiongozi Muadhamu: Kufanikiwa Rais mpya wa Iran, ni mafanikio kwetu sote

    Kiongozi Muadhamu: Kufanikiwa Rais mpya wa Iran, ni mafanikio kwetu sote

    Jul 21, 2024 07:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameiasa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) idumishe maingiliano yenye kujenga na uongozi wa Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu, Masoud Pezeshkian na kusema kuwa, mafanikio ya Rais mpya wa Iran ya Kiislamu ni mafanikio ya taifa hili zima.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS