Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan

    Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan

    Apr 06, 2022 06:14

    Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Rasoul Mousavi, Jumatatu iliyopita aliandika kwenye mtandao wa Twitter kwamba:

  • Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Apr 04, 2022 22:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haiwezi kusalimu amri mkabala wa uchu, tamaa na kujitakia makuu Marekani.

  • Rais wa Iran azitaka nchi za eneo zisipuuze njama za kibeberu za US-Israel

    Rais wa Iran azitaka nchi za eneo zisipuuze njama za kibeberu za US-Israel

    Apr 03, 2022 22:06

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi yoyote katika eneo la Asia Magharibi itayopuuza njama na malengo ya kibeberu ya Marekani na utawala wa Kizayuni, itakuwa imepuuza maslahi ya taifa lake, na itaandamwa na ghadhabu za mataifa ya Kiislamu.

  • Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi

    Iran: Afrika ni bara lenye fursa nyingi

    Apr 02, 2022 22:24

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina azma thabiti na imejitolea kwa dhati kuona bara la Afrika linafanikiwa na kustawi.

  • Jahromi: Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa la Iran

    Jahromi: Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa la Iran

    Apr 02, 2022 08:35

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vipya vya Washington dhidi ya raia wa Iran vinaonyesha wazi kuwa, Marekani inasalia kuwa adui wa kudumu wa taifa hili.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu

    Apr 02, 2022 03:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.

  • Iran: Uzalishaji wa mafuta ghafi umerejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo

    Iran: Uzalishaji wa mafuta ghafi umerejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo

    Apr 01, 2022 22:06

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kiwango cha uzalishaji wa mafuta ghafi ya taifa hili kimeongezeka na kurejea katika kiwango cha kipindi cha kabla ya vikwazo, ilivyowekewa nchi hii na utawala wa Donald Trump baada ya kuiondoa Marekani kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwaka 2018.

  • Mashambulizi dhidi ya askari wa US yameongezeka kwa 400% tangu auawe Soleimani

    Mashambulizi dhidi ya askari wa US yameongezeka kwa 400% tangu auawe Soleimani

    Apr 01, 2022 22:05

    Washington imekiri kuwa, tangu Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) auawe kigaidi nchini Iraq, mashambulizi dhidi ya askari wa Marekani yameongezeka kwa asilimia 400.

  • Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran

    Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran

    Mar 30, 2022 02:16

    Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani ni tishio kubwa kwa haki ya kupata huduma za afya, matibabu na dawa wananchi wa Iran.

  • Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Mar 27, 2022 23:09

    Mwakilishi maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran ameendeleza msimamo wa Washington ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA kwa kudai kwamba, serikali ya sasa haiwezi kutoa hakikisho na dhamana juu ya maamuzi yatakayochukuliwa na serikali ijayo ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS