Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mahakama ya Iran yakosoa sera za kupenda vita za Wamagharibi

    Mahakama ya Iran yakosoa sera za kupenda vita za Wamagharibi

    Jan 05, 2022 23:20

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa vikali sera za kupenda na kuchochea vita za nchi za Magharibi, huku akizilaani nchi hizo kwa madai yao bandia kuhusu suala la haki za binadamu.

  • Brigedia Jenerali Qaani: Wauaji wa Kamanda Soleimani hawatakuwa salama

    Brigedia Jenerali Qaani: Wauaji wa Kamanda Soleimani hawatakuwa salama

    Jan 05, 2022 04:15

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wauaji wa Luteni Jenerali Qasem Soleimani walidhani kuwa wameshinda kwa kumuua, lakini hawakujua kwamba hawatakuwa salama.

  • Iran: Uzayuni hauna nafasi katika mustakabali wa dunia

    Iran: Uzayuni hauna nafasi katika mustakabali wa dunia

    Jan 04, 2022 04:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kulinda na kutetea haki, maslahi na ustawi wake kwa izza na mantiki; na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni hauna nafasi katika mustakabali wa dunia.

  • Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran

    Shauku maradufu ya Azerbaijan ya kupanua ushirikiano na Iran

    Jan 02, 2022 09:23

    Viongozi wa Iran na Jamhuri ya Azerbaijan wakiwa na lengo la kupanua uhusiano wa pande mbili na kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wamo mbioni kupiga hatua kubwa katika uwanja huo.

  • Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran

    Jan 02, 2022 04:38

    Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Iran yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji ya polisi Wairani

    Iran yalaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji ya polisi Wairani

    Jan 02, 2022 04:36

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran amekosoa kimya na kutochukua hatua taasisi za kimataifa kuhusu mauaji ya maafisa wa polisi wa nchi hii wanaopoteza maisha katika mapambano dhidi ya magaidi, wafanya magendo wenye silaha na magenge.

  • Baqeri Kani: Zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo

    Baqeri Kani: Zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo

    Dec 30, 2021 08:56

    Kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA amesema, kutokana na mazungumzo ya karibuni mjini Vienna, zimepigwa hatua nzuri katika suala la uondoaji vikwazo.

  • Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin

    Rais wa Iran kuitembelea Russia kufuatia mwaliko wa Putin

    Dec 29, 2021 04:17

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Russia mapema mwaka ujao 2022, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa nchi hiyo, Vladimir Putin.

  • Iran: Inawezekana kufikia makubaliano mazuri katika mazungumzo ya Vienna

    Iran: Inawezekana kufikia makubaliano mazuri katika mazungumzo ya Vienna

    Dec 29, 2021 01:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 linaloundwa na mataifa ya Russia, China, Uingereza, Ufaransa pamoja Ujerumani yanayoendelea huko Vienna, Austria.

  • Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Dec 29, 2021 01:02

    Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS