-
Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zilishirikiana katika tukio la silaha za kemikali la Khan Sheikhoun, Syria
Apr 16, 2017 11:31Afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesema utawala wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zilishirikiana na viongozi wa Marekani katika njama ya shambulio la silaha za kemikali dhidi ya eneo la Khan Sheikhoun nchini Syria.
-
Utupiaji jicho jinai za Israel katika kuwachukua mateka Wapalestina
Apr 16, 2017 07:46Jumuiya ya Masuala ya Mateka na Watu Walioachiliwa Huru ya Palestina imetangaza kuwa, idadi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala ghasibu wa Israel imefikia 6,500.
-
PLO: White House imekaliwa na kuendeshwa na Wazayuni
Apr 16, 2017 03:13Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imesema Ikulu ya Marekani ya White House imekaliwa na kuendeshwa na walowezi wa Kiyahudi.
-
Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria
Apr 09, 2017 23:09Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema Tel Aviv itaendelea kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa katika harakati zao za kujaribu kuingusha serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Utawala wa Kizayuni na wimbi jipya la migomo
Apr 09, 2017 01:58Katika siku za hivi karibuni, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshuhudia wimbi jipya la migomo. Mgomo wa karibuni kabisa ni ule wa wanadiplomasia wa ofisi za kibalozi za utawala huo dhalimu ambao wameamua kufanya mgomo wa wote kulalamikia mishahara na marupurupu madogo wanayopatiwa.
-
Jumuiya ya Wafanyakazi Norway yataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina
Apr 08, 2017 22:10Jumuiya ya Wafanyakazi nchini Norway imetoa wito wa katambulwia rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Siku ya Mtoto wa Palestina na mauaji ya Israel dhidi ya watoto
Apr 05, 2017 08:25Jumatano ya leo tarehe 5 Aprili Wapalestina wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Palestina huku askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakiendelea kufanya mauaji na ukatili wa kutisha dhidi ya watoto katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv
Apr 04, 2017 11:21Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.
-
Mayahudi waandamana Quds kulaani ukaliaji wa mabavu wa Palestina
Apr 02, 2017 03:36Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano katika eneo la Quds tukufu kulaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Israel inakalia kwa mabavu asilimia 85 ya ardhi za Palestina
Mar 30, 2017 02:21Utawala wa Kizayuni wa Israel unakalia kwa mabavu asilimia 85 ya ardhi zote za Wapalestina.